Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Efe Ajagba bndia Mnaijeria anayeishi Texas Marekani kwa sasa ni bondia aliyepata ushindi sekunde moja baada ya pambano kuanza
Ilikuwa Agosti 24, 2018 Minneapolis Marekani ambapo alikuwa anapambana na Curtis Harper kwenye uzito wa juu
Curtis Harper aliondoka uligoni mara baada ya kengele kupigwa, baadae alisema kuwa katika mgomo na waandaaji kutokana na malipo
Hivyo ushindi alipewa Efe ( by disqualification) na kuwa ni bondia aliyeshinda ndani ya muda mfupi