Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Dec 27, 2020 #1 Your browser is not able to display this video. Efe Ajagba bndia Mnaijeria anayeishi Texas Marekani kwa sasa ni bondia aliyepata ushindi sekunde moja baada ya pambano kuanza Ilikuwa Agosti 24, 2018 Minneapolis Marekani ambapo alikuwa anapambana na Curtis Harper kwenye uzito wa juu Curtis Harper aliondoka uligoni mara baada ya kengele kupigwa, baadae alisema kuwa katika mgomo na waandaaji kutokana na malipo Hivyo ushindi alipewa Efe ( by disqualification) na kuwa ni bondia aliyeshinda ndani ya muda mfupi
Your browser is not able to display this video. Efe Ajagba bndia Mnaijeria anayeishi Texas Marekani kwa sasa ni bondia aliyepata ushindi sekunde moja baada ya pambano kuanza Ilikuwa Agosti 24, 2018 Minneapolis Marekani ambapo alikuwa anapambana na Curtis Harper kwenye uzito wa juu Curtis Harper aliondoka uligoni mara baada ya kengele kupigwa, baadae alisema kuwa katika mgomo na waandaaji kutokana na malipo Hivyo ushindi alipewa Efe ( by disqualification) na kuwa ni bondia aliyeshinda ndani ya muda mfupi
Feisal2020 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2018 Posts 1,113 Reaction score 2,656 Dec 27, 2020 #2 Unategemea comments za aina gani?
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Dec 28, 2020 #3 Ni sawa tu na migomo mingine Warudishe hela za viingilio vya watu
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Dec 28, 2020 #4 Mbio pia ni ujuzi na moyo ni mganga
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,680 Dec 28, 2020 #5
B bagamoyo JF-Expert Member Joined Jan 14, 2010 Posts 24,941 Reaction score 28,869 Dec 28, 2020 #7 Safi sana promoter na manager wakifanya utapeli hii ndiyo dawa yao.