EFM kipindi cha 'Empire game' kinaboa!

EFM kipindi cha 'Empire game' kinaboa!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ki ukweli watangazaji Jonas Maziku na Abdul Razak wamekinogesha kipindi hiki cha kama dakika 15 hivi jioni.

Sasa hivi huyu Jeff Lea ni kama anakifanya kuwa cha umbea umbea hivi na hii imetokea jana kwa kutupotezea muda kwa kutusimulia habari ya mke wa mchezaji huko Inglandi.

Tafadhari warejesheni hao niliowataja kwani wamenifanya nisikikose kwa kuwasikiliza na kunipunguzia 'stress' za siku hiyo.
 
Back
Top Bottom