EFM:Kuna issue kati ya Hando na Kitenge? Hongereni kwa Maestro

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Wadau kila nikisikiliza bwana Kitenge a.k.a chumvi akiwa anadadavua magazeti akiwa huko nje ya nchi amabpo mara kwa mara huenda akiwa anapokea link ata aknowledge watangazaji wote kasoro Gerald Hando ambaye cha kushangaza naye hubaki kimya hachangii kitu hata kama wengine watacheka au kuchangia wakati chumvi anadadavua.

Jingine niwape hongera sana EFM kwa kwa kumchukua Ibrahim Masoud maestro,ni mojawapio ya watangazaji wachache ambao mtu mwenye akili mingi kama mimi akimsikiliza anajua huyu mtu anajua vitu vingi iwe mashindano ya magari,ngumi,tenis,jografia ya nchi mbalimbali,utamkaji wa majina nk

Mwingine ninayemuona ana kiwango hicho ni Geof Leah kwa mfano leo kwenye hisabati sport Hq jamaa hakuwepo nimecheka sana jamaa wanavyochapia kwenye hisabati za Evander Holyfield yaani story za Lennox,Tyson na Evander wanachanganyachanganya tu wakaona waishie kuchomnekea issue za mohamed Alli,ni issue ya 22 years ago ila hawaijui vizuri

Kwa asiojua ni kwamba Maestro alifanyiwa fitina za kutosha na team wahaya pale clouds na walifanikiwa kweli kumuweka kwenye shadow bora hapo EFM uwezo wake unaonekana sasa.
 
Wanagombania nini?
sijui nimeuliza pia,huwa anataaj majina ya wengine wote anamruka jamaa anza kufatilia tu utajua ila Hando naye visirani sana yule bwana,much know fulani hivi.
 
AISEE PALE CLOUDS KUNA JAMAA MMOJA HIVI YUPO PALE SPORTS EXTRA ANAITWA MKAZUZU TZA...YAANI YULE JAMAA AKIWEPO PALE STUDIO CLOUDS...UNAAMUA UZIME TU...MAANA KIPINDI KINABOA TU...HAJUI KITU...

MIMI PALE NA'ENJOY AKIWEPO ALEX LUAMBANO TU AISEE...YULE NI MTANGAZAJI HALALI WA MICHEZO...

GEOF LEAH PALE NI MCHAMBUZI...

KUNA KALE KADADA KANAITWA PRISCA KISHAMBA...NAHISIGI ANATAKA KUJAMBA SIO KWA KUJIKAZA KULE...NI UIGIZAJI WA KUTANGAZA MICHEZO...
 
pale maestro alifanyiwa fitina na shaffih dauda pamoja na marehemu Ruge hadi alipaona pachungu lakini ukweli wote uko wazi sasa mimi huwa na tune efm tangu asubuhi ninachochukia ni makelele ya singeli tu haswa asubuhi sijui jamaa hawaangalii muda wa kuyapiga?ila sports hq ni kipindi safi sana wamelenga muda mzuri aliyetoa hilo wazo ni genius michezo siyo lazima tusubiri saa moja usiku kupata habari mbona nchi nyingine wana hadi redio za sports tu?
 
Ile Segment ya Magazeti Gerald Hando ahusiki... Nadhani ni Maagizo kutoka Juu... Hapana Beef lolote
 
Una akili nyingi halafu unawaona kama wanajua wana upeo mkubwa wa michezo? Mbona hayo wanayotangaza yote wanasoma kutoka kwenye internet kwenye website mbali mbali! Nadhani ungesema mengi ya wanayotangaza unayajua ndiyo ungekuwa ana akili nyingi. Mwafika, na hasa mtanzania ni binadamu mvivu sana na anapenda aletewe na kutafununiwa kila kitu. Hao watangazaji ndiyo kazi wanayoifanya na kwa mtu msomaji kama mimi naona huwa hawana kipya kwangu!
 
Huyu chumvi nimejikuta simpendi kutokana na uchambuzi wake.

Yaan anatia chuuuumvi hadi inawashambulia.

Nawaza kama angekuwa kwa tv sijui ingekuaje
 
okay naona huwa anataja majina ya wengine woote anamruka Hando nikajua kuna tatizo.
kumbe umeandika kitu ambacho hujui sasa kwanini usingefatilia kwanza ili ujihakikishie ndo uje utoe uzi.

acha fitina mkuu.
 
una elimu kiasi gani? unajua maana ya question mark?alama ya kuuliza.
kumbe umeandika kitu ambacho hujui sasa kwanini usingefatilia kwanza ili ujihakikishie ndo uje utoe uzi.

acha fitina mkuu.
 
Maestro analijua soka na michezo mingine vizuri..inshort anajua nini anachokifanya..

Ni mchambuzi mzuri..
 
Prisca ndiyo sauti yake.
 
Hivi Yule anayezungumzia risiti za polisi trafiki ambapo ametoa kila risiti iliyotakiwa mpaka risiti ya risiti zote ninani?

Nahitaji kumjua amenifurahisha sana
 
Kwani Geof Leah yupo efm siku izi hadi awepo kwmy hisabati za sport hq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…