nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Wadau kila nikisikiliza bwana Kitenge a.k.a chumvi akiwa anadadavua magazeti akiwa huko nje ya nchi amabpo mara kwa mara huenda akiwa anapokea link ata aknowledge watangazaji wote kasoro Gerald Hando ambaye cha kushangaza naye hubaki kimya hachangii kitu hata kama wengine watacheka au kuchangia wakati chumvi anadadavua.
Jingine niwape hongera sana EFM kwa kwa kumchukua Ibrahim Masoud maestro,ni mojawapio ya watangazaji wachache ambao mtu mwenye akili mingi kama mimi akimsikiliza anajua huyu mtu anajua vitu vingi iwe mashindano ya magari,ngumi,tenis,jografia ya nchi mbalimbali,utamkaji wa majina nk
Mwingine ninayemuona ana kiwango hicho ni Geof Leah kwa mfano leo kwenye hisabati sport Hq jamaa hakuwepo nimecheka sana jamaa wanavyochapia kwenye hisabati za Evander Holyfield yaani story za Lennox,Tyson na Evander wanachanganyachanganya tu wakaona waishie kuchomnekea issue za mohamed Alli,ni issue ya 22 years ago ila hawaijui vizuri
Kwa asiojua ni kwamba Maestro alifanyiwa fitina za kutosha na team wahaya pale clouds na walifanikiwa kweli kumuweka kwenye shadow bora hapo EFM uwezo wake unaonekana sasa.