EFM NDANI YA AZAM TV

EFM NDANI YA AZAM TV

Black Pundit

Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
56
Reaction score
154
Habari za Majukumu na uzima Wakuu......

Hivi ni kweli ETV wamekuwa excluded kwenye list channels za AZAM TV ........?

Maana siku hizi ni miezi miwili vhivi iliyopita nkilipia vifurushi vya AZAM TVsioni kabisa channel ya ETV

Mwenye majibu tafadhali ...

Natanguliza shukrani .
 
Ipo leo tu nimeiona…, jaribu kuupdate kisimbuzi chako
 
Back
Top Bottom