EFM Radio hii ni chuki dhidi ya Yanga au ndio uchambuzi wenyewe?

Katika wote umbwa namba moja ni Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga.
 
Wanachokifanya ni upuuzi ila kwa biashara ya media kina faida kubwa sana kwa maana ya kupata wasikilizaji wengi.. imagine umati karibu wote wa Simba uwe unasikiliza EFM..!! Ni biashara nzuri. Pia jina la JEMEDARI limemkaa vizuri kwenye hayo mambo yake. Utadhani ni jina la utani kumbe ndo jina lake..😄. Pia mimi ninafurahia sana kupatikana mtu wa kuweza kum-challenge Manara hadi akatikisika. Jemedari ni kiboko ya Manara.
 
Haswaaaaah Oruma ana bifu binafsi na Takadini, ila sio Yanga, tatizo utopoloo wanapenda kununua ugomvi wa watu binafsi uwe wa club
Manara ni kiumbe mbaya Sanaa ktk uso wa ardhi sema kwa kua Kuna Watu wananufaika NAE ila sio mtu mzuri
 
Hivi Hajji hajamuweka list ya waenda Algeria jemedari eehh?
 
Kama unafuatilia kwa kina utagundua ni yanga kupitia manara ndo walitafuta ugomvi na efm,wanachokipata ni haki yao.
 
Manara ni kiumbe mbaya Sanaa ktk uso wa ardhi sema kwa kua Kuna Watu wananufaika NAE ila sio mtu mzuri
Ila wewe ni mtu mzuri, ulichomzidi Manara labda ni ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…