EFM Radio hii ni chuki dhidi ya Yanga au ndio uchambuzi wenyewe?

EFM Radio hii ni chuki dhidi ya Yanga au ndio uchambuzi wenyewe?

Hello wanaJF, Habari za mihangaiko siku kutwa wakuu wangu humu ndani!?

Nimekuwa nikifatilia mahojiano na baadhi ya chambuzi za wachambuzi karibia wote wa pale EFM hawa jamaa kuanzia Geoff Leah, Jemedari Said na yule mzee wa Jambia Oruma Willson hawa jamaa kwa namna moja au nyingine ukiwatizama naona kama huwa wanakuwa na kachuki kawaziwazi au kandani kwa ndani na Yanga.

Hawana jema kabisa dhidi ya hii Kilabu sijajua walikosewa wapi au ni wanachama wa upande wapili ni nadra sana kusikia aina ya uchambuzi wao tena wa wazi kabisa ukiwa na kama chuki kwa baadhi ya Wachambuzi wa vituo vingune kama Clouds na wasafi ukimsikiliza au ukimsoma Shaffih Dauda, au Farhan Kihamu na kule usafini kwa Edo na Ambangile hawa wanajitahidi kuficha hata mapenzi yao wengi wanazungumzia uhalisia wa Football ilivyo mbinu na matokeo na wala huoni kejele majigambo wala chuki za waziwazi.

Hili andiko nimeweka baada ya kumsoma leo Jemedari Said na kuunganisha mfululizo wa maandiko, uchambuzi na baadhi ya mahojiano yao katika Media.
Katika wote umbwa namba moja ni Jemedari Said Kazumari mbwiga wa mbwiga.
 
Wanachokifanya ni upuuzi ila kwa biashara ya media kina faida kubwa sana kwa maana ya kupata wasikilizaji wengi.. imagine umati karibu wote wa Simba uwe unasikiliza EFM..!! Ni biashara nzuri. Pia jina la JEMEDARI limemkaa vizuri kwenye hayo mambo yake. Utadhani ni jina la utani kumbe ndo jina lake..😄. Pia mimi ninafurahia sana kupatikana mtu wa kuweza kum-challenge Manara hadi akatikisika. Jemedari ni kiboko ya Manara.
 
Haswaaaaah Oruma ana bifu binafsi na Takadini, ila sio Yanga, tatizo utopoloo wanapenda kununua ugomvi wa watu binafsi uwe wa club
Manara ni kiumbe mbaya Sanaa ktk uso wa ardhi sema kwa kua Kuna Watu wananufaika NAE ila sio mtu mzuri
 
Wanachokifanya ni upuuzi ila kwa biashara ya media kina faida kubwa sana kwa maana ya kupata wasikilizaji wengi.. imagine umati karibu wote wa Simba uwe unasikiliza EFM..!! Ni biashara nzuri. Pia jina la JEMEDARI limemkaa vizuri kwenye hayo mambo yake. Utadhani ni jina la utani kumbe ndo jina lake..[emoji1]. Pia mimi ninafurahia sana kupatikana mtu wa kuweza kum-challenge Manara hadi akatikisika. Jemedari ni kiboko ya Manara.
Hivi Hajji hajamuweka list ya waenda Algeria jemedari eehh?
 
Kama unafuatilia kwa kina utagundua ni yanga kupitia manara ndo walitafuta ugomvi na efm,wanachokipata ni haki yao.
 
Manara ni kiumbe mbaya Sanaa ktk uso wa ardhi sema kwa kua Kuna Watu wananufaika NAE ila sio mtu mzuri
Ila wewe ni mtu mzuri, ulichomzidi Manara labda ni ujinga tu.
 
Back
Top Bottom