mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Hello wanaJF, Habari za mihangaiko siku kutwa wakuu wangu humu ndani!?
Nimekuwa nikifatilia mahojiano na baadhi ya chambuzi za wachambuzi karibia wote wa pale EFM hawa jamaa kuanzia Geoff Leah, Jemedari Said na yule mzee wa Jambia Oruma Willson hawa jamaa kwa namna moja au nyingine ukiwatizama naona kama huwa wanakuwa na kachuki kawaziwazi au kandani kwa ndani na Yanga.
Hawana jema kabisa dhidi ya hii Kilabu sijajua walikosewa wapi au ni wanachama wa upande wapili ni nadra sana kusikia aina ya uchambuzi wao tena wa wazi kabisa ukiwa na kama chuki kwa baadhi ya Wachambuzi wa vituo vingune kama Clouds na wasafi ukimsikiliza au ukimsoma Shaffih Dauda, au Farhan Kihamu na kule usafini kwa Edo na Ambangile hawa wanajitahidi kuficha hata mapenzi yao wengi wanazungumzia uhalisia wa Football ilivyo mbinu na matokeo na wala huoni kejele majigambo wala chuki za waziwazi.
Hili andiko nimeweka baada ya kumsoma leo Jemedari Said na kuunganisha mfululizo wa maandiko, uchambuzi na baadhi ya mahojiano yao katika Media.