EFM ni project iliyofeli, mwanzoni lengo lilikuwa ni kuwa brand kubwa kuliko clouds fm lakin matokeo yake wamejikuta far behind ya Wasafi na cloudsKwa muda mrefu sasa kila ninapokutana na video clip ya EFM radio ni ya watangazaji wake wakiwa wanafanya comedy. Hii redio wamehamia rasmi kufanya comedy? Kama hawajahimia mazima kwenye comedy Majizo afikirie kuigeuza EFM jukwaa la Comedy huenda akapata faida zaidi kuliko sasa.
Ni redio ambayo mtangazaji ni Masanja mkandamizaji, Bwakila na Mkude simbaEfm Ni Kitu Gani Sijaelewa Puliz Mleta Mada Au Ni Mtoto Wa Kingendu?
Maana Si Wengine Tunaishi Dar Es Salaam Vijijini.
Ni kweliKwa muda mrefu sasa kila ninapokutana na video clip ya EFM radio ni ya watangazaji wake wakiwa wanafanya comedy. Hii redio wamehamia rasmi kufanya comedy? Kama hawajahimia mazima kwenye comedy Majizo afikirie kuigeuza EFM jukwaa la Comedy huenda akapata faida zaidi kuliko sasa.
Nimegugo Nimegundua Kwamba.Ni redio ambayo mtangazaji ni Masanja mkandamizaji, Bwakila na Mkude simba
Una maana singeli na watu siliazi ni mbalimbali! πππSijawahi kuona sehemu inalia singeli sana alafu mtu akawa serious.