Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa muda mrefu sasa kila ninapokutana na video clip ya EFM radio ni ya watangazaji wake wakiwa wanafanya comedy. Hii redio wamehamia rasmi kufanya comedy? Kama hawajahimia mazima kwenye comedy Majizo afikirie kuigeuza EFM jukwaa la Comedy huenda akapata faida zaidi kuliko sasa.