jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
Aiseee pengine ukajifunze zaidi maana ya ubunifu...kwa hiyo kuandaa tamasha siku moja na kugombea mashabiki ndio ubunifu? kwangu huo ungekuwa ni utoto na uchawi....Kwa hapa mi naonaa efm sio wabunifu wameshindwaje nao kuandaa tamasha lao siku ya leo??yaan kama wao wangekuwa ni washindani wa biasharaa nao wangeaandaa tamasha lao wamwalike [HASHTAG]#mondi[/HASHTAG] wachukue na wasanii wengine hata wakina casper nyovest au wizkid yaan daaah hapa ndo ingekuwa mtifuano lakin ndo basi tena ubunifu zeroooooo clauds watakuwa super brand siku zote.........
Huo nao hauwezi kuwa ubunifuKweli clouds ni wabunifu ndio maana wamemchukua kicheko kutoka efm
Tena uchawi itakuwa wame copy na kupest idea ya Clouds kwa sababu itakuwa sio wazo jipy tena . Ubunifu inatakiwa nao wabuni kitu kipya cha burudni ili walete ushindani zaidi.Aiseee pengine ukajifunze zaidi maana ya ubunifu...kwa hiyo kuandaa tamasha siku moja na kugombea mashabiki ndio ubunifu? kwangu huo ungekuwa ni utoto na uchawi....
we ndio unapanga ubunifu au ??Huo nao hauwezi kuwa ubunifu
Kwa maana hiyo mkuu kusaga na ruge wanasikiliza Sana Efm kuliko radio yao ?Kweli clouds ni wabunifu ndio maana wamemchukua kicheko kutoka efm
Huo unaouongelea ni ujinga sio ubunifuKwa hapa mi naonaa efm sio wabunifu wameshindwaje nao kuandaa tamasha lao siku ya leo??yaan kama wao wangekuwa ni washindani wa biasharaa nao wangeaandaa tamasha lao wamwalike [HASHTAG]#mondi[/HASHTAG] wachukue na wasanii wengine hata wakina casper nyovest au wizkid yaan daaah hapa ndo ingekuwa mtifuano lakin ndo basi tena ubunifu zeroooooo clauds watakuwa super brand siku zote.........
wangemjuaje kicheko kama hawasikiliziKwa maana hiyo mkuu kusaga na ruge wanasikiliza Sana Efm kuliko radio yao ?
Ni kweli mkuu wanasikiliza Sana efm na ea radio ndo maana wanaiba hadi watangazajiwangemjuaje kicheko kama hawasikilizi
Kwa hapa mi naonaa efm sio wabunifu wameshindwaje nao kuandaa tamasha lao siku ya leo??yaan kama wao wangekuwa ni washindani wa biasharaa nao wangeaandaa tamasha lao wamwalike [HASHTAG]#mondi[/HASHTAG] wachukue na wasanii wengine hata wakina casper nyovest au wizkid yaan daaah hapa ndo ingekuwa mtifuano lakin ndo basi tena ubunifu zeroooooo clauds watakuwa super brand siku zote.........
We jamaa kuna komenti umeitoa kule kwenye jukwaa la ukubwani,basi nakutafakali sijapata jibu bado ulikusudia nini .....?Kwa hapa mi naonaa efm sio wabunifu wameshindwaje nao kuandaa tamasha lao siku ya leo??yaan kama wao wangekuwa ni washindani wa biasharaa nao wangeaandaa tamasha lao wamwalike [HASHTAG]#mondi[/HASHTAG] wachukue na wasanii wengine hata wakina casper nyovest au wizkid yaan daaah hapa ndo ingekuwa mtifuano lakin ndo basi tena ubunifu zeroooooo clauds watakuwa super brand siku zote.........
Moja ya strayergy ya kumshinda mshindani wako kwenye biashara ni kujua analofanya.wangemjuaje kicheko kama hawasikilizi