jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
Kwa hapa mi naonaa efm sio wabunifu wameshindwaje nao kuandaa tamasha lao siku ya leo??
Yaan kama wao wangekuwa ni washindani wa biasharaa nao wangeaandaa tamasha lao wamwalike [HASHTAG]#mondi[/HASHTAG] wachukue na wasanii wengine hata wakina casper nyovest au wizkid yaan daaah hapa ndo ingekuwa mtifuano lakin ndo basi tena ubunifu zeroooooo clauds watakuwa super brand siku zote.........