efm sio wabunifu

Nazani hujui maana ya ubunifu unataka wainge kuandaa tamasha ili tu mseme kuwa wanecopy na kupest ,Leo hii efm amekuja na studio inje Leo hii radio karibu zote wamekopy mf kiss FM ,Eatv ,na hao unaowasifia clouds pia walikataa kupiga mziki wa singeli wakisem ni mziki wa kihuni Leo wameona unasoko nao wameaza kufanya hivyo hebu niambie kicheko toka amehamia clouds Efm imepwaya wapi ,ndiyo kwanza inazidi kusonga tu nazani unaongea tu coz husikilizi vipindi vyao
 
Kwenye biashara usibishane na clouds kama unataka kujua muulize shigongo atakuambia kuhusu fitina za clouds

Hata Mkuu alikuwa amepanga kuonhea na wahariri Leo lkn wakamwambia clouds wana tukio akafanya Jana so umakini wala usiwacheke kabisa efm
 
swala la studio ya nje lilianza zamani sana enzi zile clouds walipokuwa wanazindua vipindi vyao sijui waliishia wapi so sio idea mpya
 
We jamaa kuna komenti umeitoa kule kwenye jukwaa la ukubwani,basi nakutafakali sijapata jibu bado ulikusudia nini .....?
Ya kwenye jukwaa la wakubwa na kwenye celebrity forum yanahusikaa nini mwanaume hutakiwi kuwa mbeyaaa tafakari maishaa yako na jifunze kustay on ur lane n liv ur life
 
Kwenye biashara usibishane na clouds kama unataka kujua muulize shigongo atakuambia kuhusu fitina za clouds

Hata Mkuu alikuwa amepanga kuonhea na wahariri Leo lkn wakamwambia clouds wana tukio akafanya Jana so umakini wala usiwacheke kabisa efm
Shigongo ilikuwaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…