Nazani hujui maana ya ubunifu unataka wainge kuandaa tamasha ili tu mseme kuwa wanecopy na kupest ,Leo hii efm amekuja na studio inje Leo hii radio karibu zote wamekopy mf kiss FM ,Eatv ,na hao unaowasifia clouds pia walikataa kupiga mziki wa singeli wakisem ni mziki wa kihuni Leo wameona unasoko nao wameaza kufanya hivyo hebu niambie kicheko toka amehamia clouds Efm imepwaya wapi ,ndiyo kwanza inazidi kusonga tu nazani unaongea tu coz husikilizi vipindi vyaoKwa hapa mi naonaa efm sio wabunifu wameshindwaje nao kuandaa tamasha lao siku ya leo??yaan kama wao wangekuwa ni washindani wa biasharaa nao wangeaandaa tamasha lao wamwalike [HASHTAG]#mondi[/HASHTAG] wachukue na wasanii wengine hata wakina casper nyovest au wizkid yaan daaah hapa ndo ingekuwa mtifuano lakin ndo basi tena ubunifu zeroooooo clauds watakuwa super brand siku zote.........