Pre GE2025 EFM wakejeli maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini binafsi sioni sababu ya CDM kufanya maandamano ikiwa Tanzania yetu ina amani, huduma za kijamii zinaboreshwa licha ya changamoto ndogondogo zinazokwamisha jitihada hizo lakini bado Rais Samia S. Hassan amebaki kuwa kipenzi cha watanzania.
Chadema wanawapotosha watanzania kwa ajili ya kujiandalia matumbo yao na familia zao tu lakini hawana jipya lolote.

CCM nafikiri mpaka sasa ndio chama kinachoweza kuendelea kutuvusha watanzania.
 
Hao waandishi dawa yao siku wakijichanganya kwenye mikutano
Ya cdm wale kichapo tu

Ova
 
EFM wamezingua. Hao ni watangazaji au comedians? Mimi ni mwanaCCM ila nisingependa vyombo vya habari vifikie hii hatua ya EFM. Kuna vyombo vya habari vya CCM ila angalau vina weledi kwenye kuwaponda wapinzani.
Media asilimia kubwa zimeegemea
Upande wa ccm tu

Ova
 
Sasa Yana maana gani kama sio ujinga tuu? Hata watu mitaani wanawakejeli
 
Hata msipoandamana kero ya umeme, sukari tunaipata wote wananchi viongozi wa chadema maisha yawo n safi.
 
..
 
Kwanza haya maandamano yalitakiwa nchi nzima mfululizo wa wiki moja na hata zaidi.
 
"Everyone has a price, the important thing is to find out what it is." Pablo Escobar
 
Huyo Madenge si content manager? Sikujua kama ni mjinga kiasi hiki. Ni muhimu waweke professional journalists sio hawa influencers
 
Sema usubiri maoni ya watanzania /maoni ya taifa🤔
 
Wakiandamana kwa fujo na kufunga Mitaa, mtafungua thread hapa kwamba Chadema ni chama Cha vurugu (note my word)
Hakuna asiyejua Chadema kuwa ni Chama Cha mikikimikiki.kwahari ya kisiasa iliyokuwepo kwa takribani Mika nane iliyopita SI rahisi kupata waandamanaji wengi kiasi hicho,Hadi hapa Chadema bado ni Chama kikubwa sana,kumbuka hawana uwakilishi wa kutosha bungeni
Na kwasababu ya dhihaka hizi unaweza Kuta jamaa wakaanzia kwenye maandamano yajayo ya Arusha kuleta vurugu,sijui mtasemaje?
Ombeeni amani vurugu SI nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…