Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sio kweli kabisa, nakuambia sio kweli, naiminitatizo makamanda hampendi ukweli,Mbeya wametoa boko,Mwanza palichangamka kushinda Dar na Mbeya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kabisa, nakuambia sio kweli, naiminitatizo makamanda hampendi ukweli,Mbeya wametoa boko,Mwanza palichangamka kushinda Dar na Mbeya.
Hao waandishi dawa yao siku wakijichanganya kwenye mikutanoWangefanya la maana kueleza serikali imefanya nini so far katika kujibu kero zinazolalamikiwa kwenye maandamano, wangekuwa wamekisaidia sana chama chao kuliko kukejeli kwa kupotosha. Ule ni upumbavu kwani wote tumeona kuwa maandamano ya Mbeya yamekuwa ya mafanikio kwa maana ya wananchi wengi kuhamasika kuwayaunga mkono.
Media asilimia kubwa zimeegemeaEFM wamezingua. Hao ni watangazaji au comedians? Mimi ni mwanaCCM ila nisingependa vyombo vya habari vifikie hii hatua ya EFM. Kuna vyombo vya habari vya CCM ila angalau vina weledi kwenye kuwaponda wapinzani.
Sasa Yana maana gani kama sio ujinga tuu? Hata watu mitaani wanawakejeliKupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.
Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa CHADEMA "People".
Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na CHADEMA utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.
Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️
..Lakini binafsi sioni sababu ya CDM kufanya maandamano ikiwa Tanzania yetu ina amani, huduma za kijamii zinaboreshwa licha ya changamoto ndogondogo zinazokwamisha jitihada hizo lakini bado Rais Samia S. Hassan amebaki kuwa kipenzi cha watanzania.
Chadema wanawapotosha watanzania kwa ajili ya kujiandalia matumbo yao na familia zao tu lakini hawana jipya lolote.
CCM nafikiri mpaka sasa ndio chama kinachoweza kuendelea kutuvusha watanzania.
Kwanza haya maandamano yalitakiwa nchi nzima mfululizo wa wiki moja na hata zaidi.Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.
Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa CHADEMA "People".
Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na CHADEMA utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.
Imeandikwa na Mjanja M1 [emoji3578]
Usiku mwema kiongoziU
Uzwazwa wao unakuhusu nini wewe? Wamekuja kukuomba msosi?
Kabeeesa!
Huyo Madenge si content manager? Sikujua kama ni mjinga kiasi hiki. Ni muhimu waweke professional journalists sio hawa influencersKupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.