EFM walimualika Makonda ili wamdhalilishe?

EFM walimualika Makonda ili wamdhalilishe?

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Kufuatia kusambaa mitandaoni kwa video inayoonesha mashabiki wa EFM wakimzomea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akiongea nao siku ya tamasha lilioandaliwa na EFM linalojulikana kama komaa concert.

Hii ni wazi EFM walimuita ili wamdhalilishe huku wakijua kitakachotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliposema mikono juu response ya watu ilikuwa positive, aliposema alichokisema ndo watu wakazomea.

Sasa kama alidhalilika ni EFM wamemdhalilisha au kajidhalilisha mwenyewe?

Reasoning ya aina gani unatumia mkuu?
Au una ushahidi kuwa EFM ndo walimlisha maneno/ walimwambia aseme maneno yaliyomfanya akazomewa?
 
Back
Top Bottom