django1985
Member
- May 28, 2017
- 46
- 19
Nisaidieni kujuwa hii tafsiri ya zomea zomea asiye takiwa Magu au Bashite au wote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufuatia kusambaa mitandaoni kwa video inayoonesha mashabiki wa EFM wakimzomea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akiongea nao siku ya tamasha lilioandaliwa na EFM linalojulikana kama komaa concert.
Hii ni wazi EFM walimuita ili wamdhalilishe huku wakijua kitakachotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unamuamuni le mutuz kapimwe mkojoMbona kuna uzi humu ndani unaeleza kuwa jamaa aliongea fresh tu na watu wakamshangilia mkuu wetu wa mkoa,
Le mutuz pia alipost insta,
Wewe hii umeitoa wapi.
_Hasta la vista_
kwakweli ni upuuzi wa hali ya juuWengi wanafata mkumbo,sawa jamaa anamapungufu ila mi yananikela majitu unakuta linamtukana hta social network bila facts,limeona mwenzie kafanya hvo nalo linaiga[emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe bifu lake na efm liliisha
Wote MTU na nyumba ndogo yakeNisaidieni kujuwa hii tafsiri ya zomea zomea asiye takiwa Magu au Bashite au wote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufuatia kusambaa mitandaoni kwa video inayoonesha mashabiki wa EFM wakimzomea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akiongea nao siku ya tamasha lilioandaliwa na EFM linalojulikana kama komaa concert.
Hii ni wazi EFM walimuita ili wamdhalilishe huku wakijua kitakachotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Adui wa adui yako ni rafiki ako,komaa concert itapigiwa chapuo ipambane Fiesta kwa kila namna,E-fm na Albaaaty Dawood Bashakhaety wamekua marafiki tena wa kupika na kupakua.
Inatakiwa akapimwe mkojo huyu jamaaIvi kwenye show kama hiyo habari ya kumshukuru Mungu kwa kupewa Magufuli vina uhusiano gani?uyu jamaa kweli hayuko sawa hata hajui lipi litamkwe wapi na wakati gani naona hapo kataka mwenyewe kuzomewa na sio E-fm.
Hii clip haionyeshi kazomewa wapi, hawa wazee wa kupika utawaweza. Jinsi wanavyohangaika kuchafua, mbona zingesambazwa clip nyingi tu. Au hushangai kwa nini clip ni fupi sana! Nini kinafichwa?Bado napata shida kuona na kusikia mahali walipo mzomea ndugu Makonda