Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Wengi wanafata mkumbo,sawa jamaa anamapungufu ila mi yananikela majitu unakuta linamtukana hta social network bila facts,limeona mwenzie kafanya hvo nalo linaiga[emoji35]
Kufuatia kusambaa mitandaoni kwa video inayoonesha mashabiki wa EFM wakimzomea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akiongea nao siku ya tamasha lilioandaliwa na EFM linalojulikana kama komaa concert.
Hii ni wazi EFM walimuita ili wamdhalilishe huku wakijua kitakachotokea
Sent using Jamii Forums mobile app