EFM walimualika Makonda ili wamdhalilishe?

Bado napata shida kuona na kusikia mahali walipo mzomea ndugu Makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kweli mimi niliona ile show ilirushwa live na tve hapakuwa na hizo habari za kuzomeana . jamani itafika wakati sasa tutakuwa hatuwaamini kama mnatengeneza uwongo wa bei nafuu.. show ilikuwa jumamosi tena live alafu habari za kuzomeana zinaibuliwa jumatano ....
 
Ivi kwenye show kama hiyo habari ya kumshukuru Mungu kwa kupewa Magufuli vina uhusiano gani?uyu jamaa kweli hayuko sawa hata hajui lipi litamkwe wapi na wakati gani naona hapo kataka mwenyewe kuzomewa na sio E-fm.
 
Kumbe bifu lake na efm liliisha

Adui wa adui yako ni rafiki ako,komaa concert itapigiwa chapuo ipambane Fiesta kwa kila namna,E-fm na Albaaaty Dawood Bashakhaety wamekua marafiki tena wa kupika na kupakua.
 
Wamemdhalilisha wapi?

Ni vyema (sio tu kwa viongozi) kujua nini cha kuongea na wapi cha kuongea...sii kila mahali kufanya siasa matokeo yake ndio haya...
 
Mimi niliangalia hili tamasha live hakuna sehemu makonda amezomewa zaidi ya kushangiliwa..
Hata kwenye hii Clip hakuna sehemu watu wamemzomea zaidi ya kumshangilia..........
 
EFM Na Makonda waliunganishwa na msiba wa Seth
Adui wa adui yako ni rafiki ako,komaa concert itapigiwa chapuo ipambane Fiesta kwa kila namna,E-fm na Albaaaty Dawood Bashakhaety wamekua marafiki tena wa kupika na kupakua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…