Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Juhudi za makusudi zinafanyika kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuripoti mambo ambayo moja kwa moja yanatoa picha ya kufanya viongozi wa upinzani waonekane kuchukiwa na wananchi.
Mtu anaongea unajua kabisa hii script.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Eti wananchi wanahofu Lissu anaenda kwao bila familia yake, eti anawapelekea tu matatizo! Ni lini kiongozi wa CCM amawahi kwenda kwenye mikutano au kwao na familia yake?
Mnafanya mambo ya kipuuzi so obvious na kupoteza credibility kwa wananchi. Samia anaweza kutoka muda wowote akaja mwingine ambaye anapedna chombo kingine, hapo mtaanza tena kulamba miguu muingizwe kwenye payroll? CCM ikaanguka leo, mtakuja kuwaambia watanzania ilikuwa shetani sasa mmejirudi.
Watanzania tuanze kucancel vyombo vyote vya uchawa, tusapoti wale waliokuwa objective pekee, tuone wataishia wapi.