Pre GE2025 EFM wanalipwa kueneza chuki dhidi ya wapinzani? Wananchi Ikungi wapewa script waseme wanamchukia Lissu

Pre GE2025 EFM wanalipwa kueneza chuki dhidi ya wapinzani? Wananchi Ikungi wapewa script waseme wanamchukia Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
angekuwa anapendwa sana hata kwenye uchaguzi wa ndani angepata kura zote sasa utasemaje watu wote wanampenda yeye ni nai kwanza mhuni tu huyo kwanza familia yake haipo tanzania akikinukisha anakimbia wanini sasa mtu kama huyo?
Hata upendejwe huwezi pata kura zote, kurs za ndani zinaakisi jinsi ushindani ulivyo mkubwa

Wa kupendwa na watu wote ni pesa tu
 
Wakuu,

Juhudi za makusudi zinafanyika kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuripoti mambo ambayo moja kwa moja yanatoa picha ya kufanya viongozi wa upinzani waonekane kuchukiwa na wananchi.

Mtu anaongea unajua kabisa hii script.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Eti wananchi wanahofu Lissu anaenda kwao bila familia yake, eti anawapelekea tu matatizo! Ni lini kiongozi wa CCM amawahi kwenda kwenye mikutano au kwao na familia yake?

Mnafanya mambo ya kipuuzi so obvious na kupoteza credibility kwa wananchi. Samia anaweza kutoka muda wowote akaja mwingine ambaye anapedna chombo kingine, hapo mtaanza tena kulamba miguu muingizwe kwenye payroll? CCM ikaanguka leo, mtakuja kuwaambia watanzania ilikuwa shetani sasa mmejirudi.

Watanzania tuanze kucancel vyombo vyote vya uchawa, tusapoti wale waliokuwa objective pekee, tuone wataishia wapi.
Mlimfanyia mbowe haya haya , ccm bingwa wa haya. Kwa hivyo tulieni
 
Hizi njaa kila mtu anapambana kivyake........sijui Mama atawaona wangapi🤣🤣
Wakuu,

Juhudi za makusudi zinafanyika kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuripoti mambo ambayo moja kwa moja yanatoa picha ya kufanya viongozi wa upinzani waonekane kuchukiwa na wananchi.

Mtu anaongea unajua kabisa hii script.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Eti wananchi wanahofu Lissu anaenda kwao bila familia yake, eti anawapelekea tu matatizo! Ni lini kiongozi wa CCM amawahi kwenda kwenye mikutano au kwao na familia yake?

Mnafanya mambo ya kipuuzi so obvious na kupoteza credibility kwa wananchi. Samia anaweza kutoka muda wowote akaja mwingine ambaye anapedna chombo kingine, hapo mtaanza tena kulamba miguu muingizwe kwenye payroll? CCM ikaanguka leo, mtakuja kuwaambia watanzania ilikuwa shetani sasa mmejirudi.

Watanzania tuanze kucancel vyombo vyote vya uchawa, tusapoti wale waliokuwa objective pekee, tuone wataishia wapi.b
 
watu wa singinda na kanda ya kati kwa ujumla hawamkubali huyo kibaka tapeli wa chadema kwasabb anawa aibisha na kuwafedhehesha mno kwenye suala la kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu mara kwa mara,

hali hiyo inawafanya watu wa singinda wanaonekana kana ni kwamba watu wavivu, hawapendi kazi bali kazi yao ni kuombaomba tu kuchangiwa.

Kitu hicho kinawaudhi sana na kufanya watu wa ikungi na singinda kwa ujumla wamuone Lisu ni kama kibaka tu 🐒
Asee
 
Hao utakuta wamepewa buku 7 kama kina Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Back
Top Bottom