Pre GE2025 EFM wanalipwa kueneza chuki dhidi ya wapinzani? Wananchi Ikungi wapewa script waseme wanamchukia Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
angekuwa anapendwa sana hata kwenye uchaguzi wa ndani angepata kura zote sasa utasemaje watu wote wanampenda yeye ni nai kwanza mhuni tu huyo kwanza familia yake haipo tanzania akikinukisha anakimbia wanini sasa mtu kama huyo?
Hata upendejwe huwezi pata kura zote, kurs za ndani zinaakisi jinsi ushindani ulivyo mkubwa

Wa kupendwa na watu wote ni pesa tu
 
Mlimfanyia mbowe haya haya , ccm bingwa wa haya. Kwa hivyo tulieni
 
Hizi njaa kila mtu anapambana kivyake........sijui Mama atawaona wangapi🀣🀣
 
Asee
 
Hao utakuta wamepewa buku 7 kama kina Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…