alipe Ila watajifunza...ruge atamlipia
Watangazaji hawana tofauti na wanasoka wa bongo.Sijui nini kinawapata watangazaji wetu? hivi kweli Pj alikuwa hafahamu kuwa kuvunja mkataba kuna taratibu zake kweli? nimesikitika sana kama kweli mtangazaji ana kurupuka tuu bila kuangalia au kusoma vipengele vya mikataba yake na mwajiri wake.
Pengine aliona kuna kipengele kinacho mruhusu kuvunja mkataba nakufanya hivyo...pengine.
Ni kweli Clouds hawakujua hilo?
Hata hivyo madai yamepelekwa kwa baraza la usuluhishi na si mahakamani.
Sijui nini kinawapata watangazaji wetu? hivi kweli Pj alikuwa hafahamu kuwa kuvunja mkataba kuna taratibu zake kweli? nimesikitika sana kama kweli mtangazaji ana kurupuka tuu bila kuangalia au kusoma vipengele vya mikataba yake na mwajiri wake.
Pengine aliona kuna kipengele kinacho mruhusu kuvunja mkataba nakufanya hivyo...pengine.
Ni kweli Clouds hawakujua hilo?
Hata hivyo madai yamepelekwa kwa baraza la usuluhishi na si mahakamani.
Tatizo ni hizi Radio mbili e-fm na Clouds Fm hawana ubunifu wowote wakukuza vipaji vya watangazaji walio nao zaidi ya kukimbizana wenyewe kwa wenyewe wakigombea watangazaji wale wale kila leo wakati wanao watangazji wanao weza kuwakuza.Hivi reputation huwa hajwlishi sana kwenye tasnia ya habari eti?? Maana watangazaji mi naona kama hawajali kabisa kuzunguka zunguka!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama namwona Hando akisema "nilikwambia mshikaji"....
Huku karoho kake kanasema "ndomana karoho kalisita kurudi,bora nilibaki"...
[emoji23]PJ kikombe chako, hakikuepuki....
Kweli kabisa, wanashindwa kuiga kwa Mengi, anawatoa vijana halafu station zingne wakishawaona wanawadaka.Tatizo ni hizi Radio mbili e-fm na Clouds Fm hawana ubunifu wowote wakukuza vipaji vya watangazaji walio nao zaidi ya kukimbizana wenyewe kwa wenyewe wakigombea watangazaji wale wale kila leo wakati wanao watangazji wanao weza kuwakuza.
Mziki Mneneeeeeeee eeeeh eeeeeh!#Tunasepa-na-Kijiji