Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Acha na mimi niongezeke. Serikali yetu inakopakopa sana bila ridhaa ya watakaokuja kulibeba hilo deni. Yaani wananchi kupitia BungeKwenye suala la Serikali "kukopakopa hovyo" kuna sehemu halijakaa vizuri. Kwanini wakopaji wanakuwa "wakali sana" kila linapotamkwa neno "kukopakopa hovyo"? Mh. Ndugai na sasa Gerald Hando wote wamefikiwa na rungu zito kisa kutamka hilo neno.
Kuna nini?