Acha na mimi niongezeke. Serikali yetu inakopakopa sana bila ridhaa ya watakaokuja kulibeba hilo deni. Yaani wananchi kupitia BungeKwenye suala la Serikali "kukopakopa hovyo" kuna sehemu halijakaa vizuri. Kwanini wakopaji wanakuwa "wakali sana" kila linapotamkwa neno "kukopakopa hovyo"? Mh. Ndugai na sasa Gerald Hando wote wamefikiwa na rungu zito kisa kutamka hilo neno.
Kuna nini?
Wala sio uchwara kila media imesajiliwa kwa kazi fulani zipo za habari za uchunguzi,zipo za mlengo wa Upinzani nk Sasa sio umesajiliwa kuhabalisha inaanza kuwa mwanahadakati lazima ushughulikiwe hata leseni unaweza futiwa vile vileMedia uchwara za Bongo..
Acha ujinga wewe kima,lini ukisikia Serikali ya awamu ya 6 inaomba kusamehewa Deni?Kukopa sio kosa Ila kopa unachoweza kurejesha sio unakopa alafu unasubiri msamaha, China yaisamehe Tanzania deni la billion 31.8, Ujuremani yaikopesha Tanzania Billion 900 kwa ajili ya Tehama, alafu tunamsubiri Mjerumani nae asamehe mkopo wake, mwalifyale hio ndio furaha ya kukopa ili tufurahie kusamehewa mikopo?
Wanajua Nini hao takataka? Hako kameajiliwa hapo hata hakajui anaekalipa Pesa za kuendeshea maisha yake anazipataje..
Subiri hawajarudi toka Msoga inasemekana kuna ng'ombe wa mkesha alichinjwa hukoHabari wanajukwaa .humu ndani mlikuwa mkimpongeza na kumsifia Gerald Hando kwa uusaliti wake na chuki zake dhidi ya serikali ya awamu ya sita mbona mnamwacha peke yake sasa?
WamuajiriUlitaka wafanyeje
Habari wanajukwaa .humu ndani mlikuwa mkimpongeza na kumsifia Gerald Hando kwa uusaliti wake na chuki zake dhidi ya serikali ya awamu ya sita mbona mnamwacha peke yake sasa?
Gerald Hando alikuwepo katika utawala wa awamu ya tano hakuwahi kuzungumza hata mabaya yaliokuwepo kipindi kile aliketi kimya.
Si mahabiki ila usaliti na chuki kwa serikali ndio hupo hivyo?
Acha ujinga wewe.... Unamlaumu marehemu kwa vitendo vya anaeishi?Nilimpenda Magufuli kwenye mambo mengi lakini kwenye hili la kupenda kusifiwa tu ameharibu Sana mfumo. Nchi imegeuka ya hovyo mtu akikosoa tu anaonekana adui,atasakamwa na kesi za uhujumu nchi atapewa.
Mama amerithi na kuiendeleza tabia mbovu na ya hovyo Sana.
Kwan amefukuzwa kazWamuajiri
Mbona Majizzo amekwambia wasikizaji wake awakufurahishwa na kauli ya Hando ndio maana ameamua kumchukulia hatua tatizo sisi tunataka kulaumu atakisichokuwepoOnyo halijiijii hovyo.Kuna kitu kimeanza ndiyo limefuata onyo.Beware of hypocrites!
Anaosha vyombo saiziKwan amefukuzwa kaz