EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.

Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.

View attachment 2464611
Nidhamu ya uoga, kujipendekeza na kujigonga ndo utambulisho wa watanzania
 
Na wewe ukavae Kibagalashia.
Siasa sipendi yakhee
Tatizo silipwi, na hiyo unayopata ndogo sana kwangu.

Utalegea tu. Kamwote leo.
 
Majizo amfukuze kazi Hando, EFM ni kituo kizuri sana Cha Radio, tatizo Hando anaingia akiwa amelewa chakari halafu anaruhusiwa kuingia hewani, aweke vipimo vya kilevi mlangoni.

Na akianza kuweka kipimo hicho, akipita Hando, kitapiga alarm ambayo itafika mpaka Morogoro, na kipimo kinaweza kupiga shoti hapohapo na kuharibika
Si atakuwa ameshamfukiliza tayari??
 
Mtaitana sana, mtabadilisha maaidi, na kama mama mmoja wa kisomali anavyosema 'tinamijueni'
 
Legacy alioiacha jiwe ya kutumia mabavu itaitafuna sana hii nchi kwa kipindi kirefu sana, juzi Kuna uchaguzi umefanyika huko Tanga imetumika jiwe staili ya kuzuia mawakala wa ACT wasiingie
wapi na wapi na Bandiko huko juu?
Waaapi?

'tinamijueni'
 
Tukumbuke Hando ni muajiriwa wa EFM hivyo chochote anachosema kikaruka hewani inakuwa EFM ndo imerusha.

Sasa EFM yenyewe haina mawazo aliyoyatoa Hando wala Management haikumtuma Hando kusema hayo na hayakuwa sehemu ya content ya kipindi alichokuwa akitanga Hando bali maoni yake binafsi ambayo angeweza kuwasilisha kupitia hata akaunti zake binafsi za mitandao ya kijamii sio kwenye chombo kile chenye management yake.

Tukiweka unafiki pembeni hakuna anayetaka matatizo yanayoweza kuepukika, tusimuone Majizo mjinga ila ukweli ni kwamba ile ni business amewekeza, Hando kama ana mtazamo wa kukosoa na kushauri Serikali atumie akaunti zake binafsi.

Kila kazi ina terms zake, kila boss analinda source zake kikamilifu.
 
WhiteWashing.
A definate Preempitve strike.
'tinamijueni'
 
Samia anawanyoosha wanaopinga Maendeleo Ila wale wakosoaji wa kawaida ruksa kabisa.
Huo ni udikteta kweupe kabisa, kwamba yeye Samia ndio anaamua kipi ukosoe na kipi usikosoe hata kama kukosoa huko hujavunja sheria wala kutumia maneno mabaya. Ni kweli ipo wazi sasa Samia hataki ukosoe kuhusu mikopo ni kwamba ameminya uhuru wa kutoa maoni katika suala la mikopo.
 
Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopokopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.

Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.

View attachment 2464611
Muendelezo wa Majizo kujipendekeza kufuta issues zake za Ngada
 
Wala siyo inshu ya media uchwara mkuu.

Hii nchi imefika wakati mkosoaji anaonekana Ni adui wa taifa. Majizo amepima upepo anakoelekea media yake itawekewa vikwazo vya kimya kimya Hadi afulie... kajiwahi!!

Mambo ya kupenda kusifiwa bila kukosolewa kuliasisiwa na Magufuli, mama anaendeleza. Hovyo kabisa.
Magufuli ndiye hakupenda kukosolewa. Kwani hata mama hapendi kukosolewa?
 
Back
Top Bottom