eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hii mechi ya kwanza bana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ dakika ya 11 nishakula chuma 3 sijui nilikuwa nazubaa wapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
View attachment 3336576View attachment 3336577View attachment 3336578
Hii mechi ya mwisho nikagongwa chuma 2 bila ile kuchomoa zote jamaa akawasha full def bars ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ nikasema duh hapa ni kutumia nafasi tu mana nikipoteza ataniadhibu ipasavo

Ndo kama hivo nimeshinda 1 tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Si unaona game zao zilivyokuwa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Haya kaxi ianzie hapa, kama mbwai mbwai tu ๐Ÿ˜‚
Hii tumeikataa wanaoneana huruma alafu wote wana mpira unafanana kias japo Guilberto ni Possession game


Kutana na Mill broh mzee game imeanza tuu unawashiwa Full blue bars kwanza na possession game yako lazima ukimbie๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Back
Top Bottom