eFootball Special Thread

Redmi nyingi za chini hazikubali ila ajabu kuna jamaa ana infinix hot 12 inacheza nilishangaa.

Wakati hata REDMI 10C haikubali. Wewe unatumia simu gani kulicheza? Halikwami kwami?View attachment 2812463
simu iwe ima RAM si chini ya 4 na processor walau G88 na kuendelea, pia kwa sim zenye cortex iwe na cortex mbilii moha iwe na A75 nyingine A55 zikuwa A55 zote ni mimba iyo,
wale wa qualicom kuanzia 680 ivi adreno 615 kwenda juu display refresh rate isiwe chini ya 90 au 100
 
Nipe recommendation simu gani ya chini ya budget ya 400k - 500k inaweza kucheza ukitoa hizi Samsung. Naona redmi nyingi hazisupport hilo game. Kitu cha kushangaza infinix ya hot 12 anacheza ila Redmi wa 10C hachezi.
 
Kuna simu nyingine cortex A55 pia hazikubali ni kama kubet vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…