eFootball Special Thread

Group la telegram e football world wide humu watu muda wote watu wanakiwasha ni code tu.
 
Hiyo nimeicheza kitambo Ila hamna maajabu kama kwenye DLS
Hilo game huwa lina boreshwa kila msimu mpya, binafsi nimeanza kucheza hilo game msimu uliopita na sijawahi kujuta, nilijaribu dls nikaona miyeyusho tu
 
Sijui kwa nini baadhi ya watu wanasema dls ndo bora na hawana sababu nzuri akati linapitwa na Fifa sasa ndo liifikie eFootball 😅
DLS ni habari nyingine lile game lina arosto ya hatari sana. Asilimia kubwa wenye smartphone wanalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…