eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

bado npo kibaruani ,muda ule nilikua break kidogo halafu shida ninapoishi gheto mtandao upo slow vipi halitastack?
Ukiwa unacheza online mtandao hakikisha upo vizuri maana ukisumbua tu kidogo unashangaa goal hiloo
 
Mambo ya golden goal ⚽️
Screenshot_20231113_155422_Gallery.jpg
 
Utajararibu ukizingua utakua unacheza match zingine. Ukiwa sehemu nzuri ndo una kipiga na mtu online.
kama zipo mechi zingine ntakua napiga hizo ila online matches ntakua nafuliwa sana
 
Ili gm ni moto wa kuotea mbali jana kuna sehemu nililicheza, kurusha kwangu cm ikazingua. Niwe mkweli limenipa hamasa ya kubadili cm. Wale wa googlepxl niibuke na toleo lipi?
 
Ili gm ni moto wa kuotea mbali jana kuna sehemu nililicheza, kurusha kwangu cm ikazingua. Niwe mkweli limenipa hamasa ya kubadili cm. Wale wa googlepxl niibuke na toleo lipi?
Ukisha badili simu lichukue mkuu hutojutia.
Uache na hela ya gb 2 za kudownload game😂😂
 
Ukisha badili simu lichukue mkuu hutojutia.
Uache na hela ya gb 2 za kudownload game[emoji23][emoji23]
Naona post ya Mikeka haifunguki[emoji24][emoji24][emoji24] Moods mnatutesa tunahitahi Code tuendelee Kubet.
 
Mimi nacheza EA FC 24 mobile (zamani fifa mobile), kwa sasa nipo division ya Legendary 3,, ila watu wa mule sio poa wanagusa mnoo. Natamani kuhamia efootball kwa sasa
😂😂😂 ujapigwaa nyingi wee uko unataka kukimbia
 
Nimecheza magemu yote Ila DSL ni habari nyingine aisee
Dsl ndo nini? Ni dls, hili game kila nikijaribu kucheza najikuta nafuta, Mnalipendea nini yan nashangaa ni sawa na kufananisha apple na hp kwenye swala la pc
 
Dsl ndo nini? Ni dls, hili game kila nikijaribu kucheza najikuta nafuta, Mnalipendea nini yan nashangaa ni sawa na kufananisha apple na hp kwenye swala la pc
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom