Efraim Kibonde amsafisha Rostam

Ubongo wa kibonde unahajakubwa nilimskia akichafua hewa !
 
Ubongo wa kibonde unahajakubwa nilimskia akichafua hewa !
haaaa kumbe!! Hii nayo kali. Yani nyie bado mnahangaika na huyu jamaa? Tabia ya kuwapa watoto wenu majina ya ajabu madhara yake ndo haya sasa wewe ebu jiulize mwanao unapompa jina la KIBONDE unafikiri huyo mtoto ataacha kuwa KIBONDE.
 
mi siku hizi hata vipindi vyao huwa sisikilizi! Yeye anajiona anaumaarufu sana. amekuwa anaongeongea kama mwanamke vile. kujisifia tuuu
 

Msimhukumu kibonde alichokizungumza ni ukweli usiotakiwa na watu wengi, haiwezekane watu wajenge tabia ya kutuhumu watu kwa hisia zisizo na maana. Kibonde endelea kusema unachodhani ni sahihi. Tatizo la nchi hii ni unafiki. Ulichosema ni ukweli kama hao wanaotuhumu wenzao wanaushahidi mbona wasiwapeleke mahakamani?
 
Kibonde ametumia haki yake ya kikatiba.
 
haaaa kumbe!! Hii nayo kali. Yani nyie bado mnahangaika na huyu jamaa? Tabia ya kuwapa watoto wenu majina ya ajabu madhara yake ndo haya sasa wewe ebu jiulize mwanao unapompa jina la KIBONDE unafikiri huyo mtoto ataacha kuwa KIBONDE.
teh teh,kinda true! A name refrects alot about a person!
 
matatizo ya nchi hii ni unafiki!!!!? we kibonde......ndio na wewe kibonde kichwani nchi ina matatizo ya uchumi, umeme, elimu, afya, miundombinu, katiba, tume ya uchaguzi, utawala bora, maji, usalama wa raia.......... wewe wasema tatizo la nchi yetu unafiki!!!!!!! jipange unapotaka kutoa hoja, hatumsikilizi kibonde na vibonde wengine wowote kokote nchini.
 
wewe humjui kibonde pumba,au ameku2ma umtetee!!
 
Kibonde mimi namfananisha na Malaria Sugu!
 
Inasemekana Kibonde ana division zero 'O' wale wanaomfahamu au waliosoma naye watudhibitishie. ukimsikiliza hoja zake za kipuuzi unaweza kuaminishwa kuwa kweli ni zero huyo

Jamani mnapoteza muda, Jina lake ni Kibonde maana yake ni Kilaza!! sasa nini kisichoeleweka hapo?
 
bahati nzuri nimemfaham kibonde tangu 80s. Sijawai kumsikia akisema kitu cha busara. Kumjadili hapa ni kupoteza mda.
 
Kibonde anaropoka lkn yule hando gera.ld wa power breakfast ndio hamnazo kabisa
 
Aliisha nunuliwa na kikwete na mafisadi wa ccm kipindi cha kampeni na ndio mwanzo wa kugombana na wenzake km akina gardner g habash kwa sababu ya mgawo wa mafisadi wa ccm.......................apuuzwe
 
yule si mwanahabari ni mc lazima kuwe na tofauti kati ya mwanahabari na mc wa masherehe mc kazi yake ni kusifia tu
 
Nimeskia leo kazidi kutoa kali eti waandishi wa habari wanaacha mambo ya msingi kama kuulizia umeme wa Aggreko umefikia wapi, eti wanakomalia habari ya Rostam kujiuzulu.

Anasahau yeye mwenyewe anatumia kipindi kirefu tu kuzungumzia issue hiyo wakati angeweza pia kutuhabarisha kuhusu hiyo Aggreko,
Au yeye sio mwanahabari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…