Efraim Kibonde amsafisha Rostam

Efraim Kibonde amsafisha Rostam

Wale msomjua....

Kibonde%2Bna%2Bzama.JPG

Khaaa dogo kanenepa hivi?
 
huyo jamaa nadhan mkiendelea kum discuss mtaumiza vichwa vyenu mana ni useless na mpumbavu kabisa!nadhan kwa tabia zake atakuwa anamegwa!
 
alikuwa anamtetea na kusikitika wakati anasoma taarifa ya kujiuzulu...............Njaa inatumaliza
 
yaani kwa bahati mbaya kumsikia akianza kuongea,unajikuta unabisha na radio yako! haina tofauti na ukimuona jk kwenye tv yako, u just cant help watching what crap he still has to say to the public!

Nilifikiri ni mimi tu namchukia huyu baba Riz kumbe tupo wengi.... yaani akianza kuongea tu huwa nabadilisha channel.... full crap.....
 
hUYU KILZA KILA SIKU MNAMWANDIKA,NDIO KUMPA JINA HUKO.
 
kawaida yake tatzo anakula rushwa na pia anaingia studio na pombe na elimu yake ya certificet ya utangazaji
 
kibonde kakwama kifikra hamna haja ya kumuongelea anatetea hiyo nundu aliyobeba kwani ikidorora tu safari na muziki
 
Mtangazaji wa Kituo Cha Redio cha CLOUDS FM, Bw. Efraim Kibonde ametoa ''kali ya mwaka'' pale alipojitosa mzima mzima kumsafisha Rostam Azizi kupitia kipindi chake cha Jahazi.

Bw. Kibonde alidai kua watu wanaacha kujadili maadui wa3 wanaojulikana ambao ni Ujinga, maradhi na umasikini wao wanabaki kujadili watu.

Kwa mujibu wa Bw. Kibonde, ni vyema kama kuna mtu anaehisi fulani ni mwizi basi akampeleka mahakamani kuliko kubaki kulalamika pembeni.

My Take;
1>Kibonde apuuzwe tu, kwani anafahamika ni puppet wa mafisadi akitumika kuwasafisha kupitia vipindi vyake Redioni.
2>Kibonde anathibitisha ukilaza wake kwa kuamini kua popote pale, katika mazingira yoyote yale na kwa wakati wowote ule, maadui ni hao watatu tu.
3>Kibode anatumia utetezi wa A-Ch kwamba mwenye ushahidi apeleke mahakamani au TAKUKURU huku akijua fika huko ndiko Rushwa imebobea

Apuuzwe kivp wkt wewe umeleta thread hapa ajadiliwe?
 
Kibonde kanifanya niichukie clouds,uwezo wake ni mdogo sana na ni hatari mno
Nahisi ni sh...ga mtu mwenye akiri timamu hawi vile,hata watangazaji wa uhuru fm ambao ni wakereketwa wana staha.
 
labda alipewa pombe ili amsafishe
tehetehetehe si anapenda mitungi?


Ni huyu Kibonde mwenye skendo ya THT au? Yeye nani kampeleka mahakama? Haaahaa kibonde bwana tatizo analewa mno..then pia mshkaj wa baba riz.,'
 
aseeee!


Nawe post yako nayo ni ya KINAFIKI.Ungekua umeyaona hayo ungepuuza tu.Katika hizo tatu umeona moja ina makosa ukakosoa, mbona hukusifia mbili zilizobaki?Kama anakuhusu kampikie chai unywe nae!
 
Huyu ugonjwa wake umepanda kichwani!kikombe cha babu hakijamtibu!!!namshauri aendelee na dawa zake!!
 
Ana njaa kali huyo anatafuta mshiko. RA anajua amekosa, kibonde anamfagilia, loo aibu mtu mzima hovyo.
 
niliacha kumsikiliza kibonde siku nyingi, kumbe bado pumbaman. ofcoz jamaa ni pupet na wako wengi tu kwenye hizi local media tujahadhari nao...
 
Back
Top Bottom