ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Wale msomjua....
![]()
Khaaa dogo kanenepa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale msomjua....
![]()
yaani kwa bahati mbaya kumsikia akianza kuongea,unajikuta unabisha na radio yako! haina tofauti na ukimuona jk kwenye tv yako, u just cant help watching what crap he still has to say to the public!
Wale msomjua....
![]()
kumbe ana pete ya ndoa, sasa mbona wanasema 'si ridhiki'!!? asante kwa picha hii
Mtangazaji wa Kituo Cha Redio cha CLOUDS FM, Bw. Efraim Kibonde ametoa ''kali ya mwaka'' pale alipojitosa mzima mzima kumsafisha Rostam Azizi kupitia kipindi chake cha Jahazi.
Bw. Kibonde alidai kua watu wanaacha kujadili maadui wa3 wanaojulikana ambao ni Ujinga, maradhi na umasikini wao wanabaki kujadili watu.
Kwa mujibu wa Bw. Kibonde, ni vyema kama kuna mtu anaehisi fulani ni mwizi basi akampeleka mahakamani kuliko kubaki kulalamika pembeni.
My Take;
1>Kibonde apuuzwe tu, kwani anafahamika ni puppet wa mafisadi akitumika kuwasafisha kupitia vipindi vyake Redioni.
2>Kibonde anathibitisha ukilaza wake kwa kuamini kua popote pale, katika mazingira yoyote yale na kwa wakati wowote ule, maadui ni hao watatu tu.
3>Kibode anatumia utetezi wa A-Ch kwamba mwenye ushahidi apeleke mahakamani au TAKUKURU huku akijua fika huko ndiko Rushwa imebobea
Ni huyu Kibonde mwenye skendo ya THT au? Yeye nani kampeleka mahakama? Haaahaa kibonde bwana tatizo analewa mno..then pia mshkaj wa baba riz.,'
Duh hii picha ni real au imechakachuliwa.Wale msomjua....
![]()
Nawe post yako nayo ni ya KINAFIKI.Ungekua umeyaona hayo ungepuuza tu.Katika hizo tatu umeona moja ina makosa ukakosoa, mbona hukusifia mbili zilizobaki?Kama anakuhusu kampikie chai unywe nae!
Duh hii picha ni real au imechakachuliwa.
alikuwa anamtetea na kusikitika wakati anasoma taarifa ya kujiuzulu...............Njaa inatumaliza