Efraim Kibonde amsafisha Rostam


Ibara ya 18 ya katiba ya JMT insema:

Haki ya Uhuru wa Mawazo
Uhuru wa
Maoni Sheria ya
1984 Na.15 ib.6


18.-(1) Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru
kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta,
kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo
chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa
mawasiliano yake kutoingiliwa kati.

So mimi sijaona kosa la Kibonde hapa.
 
Nan asiyemjua kibonde? Tafuta ANTI VIRUS ya Mr. II a.k.a sugu, utamfahamu vizuri huyu bwana!
 
Gamba linambana na yeye, anatakiwa kulibanduwa, i don't see a point he's making, kapoteza wasikilizaji wengi w hiyo redio kwa bias-ness, kama hiyo radio inataka kuendeshwa kwa faida bora wamtoe au they should forget about doughs, wamepoteza mwelekeo!
 
Ana haki ya kikatiba,na pia ana bahat amepata eneo la kuongelea mawazo yake na akasikika na watu weng!mfano nawe muanzisha thread hii,hapa jf ndo pahala pako pa kutolea mawazo!sion logic kumbeza coz mtu anapotoa wazo una hak ya ku2hukua wazo lake au ku-ignore!mi simpend kibonde ila naona ameongea point,kwan magazet yanaacha kuripot habar za msing zaid za kuinua uchumi wetu,matokeo yake habar ya rostam itatake place kwenye vichwa vya magazet zaid ya wiki!twajua wanafanya business,lakin wanazidisha!jiulize gazet gan limewah chapisha habar ya wanafunz wa vyuo zaid ya siku tatu kwenye front page?ni nadra sana!msema ukwel mara nying hapendwi!hayo ni mawazo yangu.
 
Jamani umaskini mbaya watu kama hao ni njaa tu hasa ukikuta kichwani hamna kitu,. sasa natoa ONYO kwake aachane na utangazaji uchwara maana yeye hata hiyo fani hajafuzu.. tatizo anataka umaarufu kupitia wezi... awaulize waandishi kama yeye kilichowakuta huko rwanda baada ya mauaji ya kimbali.. OOOOVYOOOOO!



 
Kibonde anasumbuliwa na side effects za ARVs anazotumia kwa hiyo siyo makosa yake.
Kuna siku atawatukana hata hao akina Kusaga na Ruge

Wwwhhhaaatt..!! kutumia ARV siyo dhambi
 
Kwa vile anajua Fisadi ana mshiko anatafuta sifa ili akakatiwe kidogo. Kissing Fisadi Ass ni hulka ya wanafiki kama yeye. hoja zake nyingi pumba tu wala hazina mashiko kwa mwanaume wa umri wake ni aibu
 
Bonge la kilaza..empty headed, stone head with freezing mind.! Rinajifanya rinajuwa kila kitu.! Njaa na tamaa ya kuishi maisha level za wengne ndo zinamsumbua..nakubaliana na mkuu hapo juu uliyesema siku moja Ritamtukana anayeriweka Mujini.! Heshimu taaluma za watu hata kama we ni Kilaza(Kibonde) kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…