<br />Yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika kuhakikisha manzese yote inakuwa kama masaki big up braza aminia na mikakati yenu mikali!!!
Yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika kuhakikisha manzese yote inakuwa kama masaki big up braza aminia na mikakati yenu mikali!!!
Ninachokiona hapa Kikonde bado hajapata washauri wazuri, kama ningekuwa mshauri wake ningemshauri agombee udiwani ambao nina uhakika atapata then apate fursa ya kuwa meya wa JiJi. Nyani Ngabu ebu tupe hiyo software ya clouds + kibonde thread Alarm Alert, maana hii mimi nimeiona leo, kama ningekuwa nimeshafunga software yangu ningeshakuwa humu muda mrefu.Bwahahahahahahaaaaaaa.....and another one!