Efraim Kibonde apata ajira NSSF

Efraim Kibonde apata ajira NSSF

Yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika kuhakikisha manzese yote inakuwa kama masaki big up braza aminia na mikakati yenu mikali!!!

nyie ndiyo huwa mnasababisha watu wanapigwa ban!!! am outta here
 
yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika kuhakikisha manzese yote inakuwa kama masaki big up braza aminia na mikakati yenu mikali!!!

hawa si wale wanapelekewa mbili tatu rose garden na kibonde wakati nyumban wanalia maharage
 
una mpango wa kupata kapromosheni ktk nyumba ya kibonde nini , kwani hizo sifa unazompa si stahiki yake au kibonde ana kabint hivyo unataka akupe bure
 
hongera sana kibonde kwa uandishi wa habari mahiri,uliotukuka na wenye hekima kubwa.
 
Kwanini hawabuni button ukii -click unamtwanga ngumi mtu anayekukera
 
Mopaoz lazima atakua nssf ndio maana kachapia kwenye title yake<br />
<br />
Pili, inaelekea kibonde angekua basha angelamba wengi sana humu
angelamba wengi mkuu!
Hasa wabeba box
 
Yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika kuhakikisha manzese yote inakuwa kama masaki big up braza aminia na mikakati yenu mikali!!!
Crap sasa unajikatizia mwenyewe!!Wewe una unguli gani bwana?wala umahili unaotaka tuujue je kwanini usiende kutanganza uhuru efraim??
 
Mwanaume unamshangili mwanaume mwenzako, aibu.
 
mnaweza kutueleza mipango ya NHC kuibadilisha manzese kuwa Masaki? nadhani hiyo ni muhimu zaidi kuliko habari za huyo gamba
 
Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe ni usingizi na kifo?
 
hongera sana kibonde kwa uandishi wa habari mahiri,uliotukuka na wenye hekima kubwa.
 
Kwa hesabu za haraka haraka,
Mopaoz +N. Ngabu= Kibonde
 
Back
Top Bottom