Egm naweza kuwa Ruban?

Egm naweza kuwa Ruban?

Salim760

New Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Mm n mwanafnz wa advance form five
Nahitaj kufaham kwamba napenda kusoma kombi ya EGM lakin swal langu n kwamba naweza kusoma kombi ioo na badae nikawa RUBAN
naomben msaada wenu tafadhal
 
Mmm kwa ruban sizan mana katka uruban huwa kuna application za physics ndo mana wanaosoma pgm huwa wanasomea uruban. Kwa hyo yako kasomee uchumi.
 
Bongo sahau,ila mbele kama unaweza kujilipia zaidi ya mil.80 kwa mwaka hata usome hgk unaweza kuwa rubani
 
waasili au?...yan uwe rubani hata force inainyanyua ndege hujui jina lake? au kisa unajua bei ya mafuta yake na idadi ya watu inaobeba?..navyojua hata hawa pgm wanakuwaga walimu tu maana hapa bongo bhana...
 
Back
Top Bottom