Egypt Air yaanza afari za Dar es Salaam

Egypt Air yaanza afari za Dar es Salaam

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hatime kampuni ya ndeege ya misri egypt air imetua leo hii asbh kwa mara ya kwanza na ndege aina ya airbus ikihitimisha ile shamra shmra zilizokuwa zikifanyika ndani ya wiki moja na kufanikiwa kwa mara ya kwanza kuondoka na abiria 85...
habari zaidi zinasema walipofika kulifanyika ka sherehe kidogo lakini pamoja na sherehe waliweza ku maintain kuondoka on tyme huku wa kishangiliwa na faya iliokuwa ikimwaga maji pembeni...tunawakaribisha sana wapendwa hawa
PRECISSION /AIRTANZANIA huu ndio muda wa kufanya biashara ya CONNECTIONS PAX.. TUNAWATAKIA KILA LA KHERI
 
Hivi kwa nini walisitishwa safari zao hapo awali?? Na kwa nini sasa wamerudi tena???
 
Hivi kwa nini walisitishwa safari zao hapo awali?? Na kwa nini sasa wamerudi tena???

wamerudi kwa sababu watanzania tumekuwa mandondocha.....wacha wale pesa mkuu

SAA wanatoka S.AFRICA WANAENDA MOJA KWA MOJA ZANZIBAR...TANZANIA WAMELALA....
 
Egypt Air yaanza afari za Dar es Salaam

Mama Mia,

Natumaini ulimaanisha kuandika "safari" na siyo "afari" kwenye heading ya thread.

Watanzania hawajalala, bali waliopewa madaraka wamelewa na kwa vyovyote vile mlevi ni mlevi tu. Watanzania hawajaua ATC au kuiozesha na kuibatiza upya! Ni ulevi wa wenye madaraka ndio unatufikisha hapa

Niamini sana, ni kwamba kwa siku chache zijazo utaiona IranAir, Qantas, e.t.c zinaanza kutua Dar!
 
Watanzania hawajalala, bali waliopewa madaraka wamelewa na kwa vyovyote vile mlevi ni mlevi tu. Watanzania hawajaua ATC au kuiozesha na kuibatiza upya! Ni ulevi wa wenye madaraka ndio unatufikisha hapa

OOOHHH YEAH UR RIGHT BR...SASA SOLN NINI???
 
Back
Top Bottom