Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

Hakuna kitu kama hicho kwa sababu Niger wamegusa mpira wa kuanzisha na kila goli walianzisha wao mpira kwa hiyo kusema Egypt 100% maana yake Niger hakuna aliyegusa mpira
 
Hakuna kitu kama hicho kwa sababu Niger wamegusa mpira wa kuanzisha na kila goli walianzisha wao mpira kwa hiyo kusema Egypt 100% maana yake Niger hakuna aliyegusa mpira

Kweli kabisa, sasa hizo asilimia sijazielewa
 
Ukisoma hizo data utajua tu wamekosea, accurate passes ni 2 tu halafu hao ndio wana 100% ya afpss success 😂 ina maana toka mpirabuanze zimepigwa pasi mbili tu😂
 
Ukisoma hizo data utajua tu wamekosea, accurate passes ni 2 tu halafu hao ndio wana 100% ya afpss success 😂 ina maana toka mpirabuanze zimepigwa pasi mbili tu😂

Aise hiyo kali ya mwaka sheikh 🤣🤣
 
Kitu kidogo kama hicho unashindwa kuelewa kama ni uongo.

Pass success%=accurate passess/total passess

Kwa takwimu hizo maana yake Egypt alipiga jumla ya pass 2 na zilizofanikiwa pass 2, kitu ambacho ni uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…