Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo jeuri anayo Ethiopia tu. Nchi nyingine zilizobakia (ikiwemo hii ya kwako) ni 🚮 tu kwa Misri.Waachieni Nile, sisi tu-deal na Ziwa Victoria tu...wakirefusha midomo, wafanye wanachoweza tuone! Pumbavu
Oooh, sorry, kumbe bi wavaa kobazi wenzao....basi na ikawe vile iwapendezavyo watoto wa ma'mdogo chini ya jemedari wao wa kike kwa mujibu wa imani yao ahahahahah.
Comrade! Nchi yako haina uwezo wa kupigana na Misri! Na huu ndiyo ukweli mchungu. Achilia mbali kuipinga/kuidindishia! Na ndiyo maana mpaka leo eneo la nchi yetu (ikiwemo Kandavya Ziwa) hakuna maji ya uhakika kwa ajili matumizi ya nyumbani na kilimo! Na wakati huo tuna Ziwa kubwa kama Victoria!Tupigane tu Mto ni mali ya Tanzania, hata hivyo kumepoa sana.
Kwa taarifa yako Ziwa Victoria ni moja ya chanzo cha Mto Nile kwa hiyo Egypt haitaki matumizi yo yote ya maji bila wao kutaarifiwa na kukubali vinginevyo wako tayari kutumia nguvu za kijeshi.Waachieni Nile, sisi tu-deal na Ziwa Victoria tu...wakirefusha midomo, wafanye wanachoweza tuone! Pumbavu
Oooh, sorry, kumbe bi wavaa kobazi wenzao....basi na ikawe vile iwapendezavyo watoto wa ma'mdogo chini ya jemedari wao wa kike kwa mujibu wa imani yao ahahahahah.
Niliona makala moja ikionesha chanzo cha Nile pale Uganda, kuna ushahidi wowote usio na shaka kuwa Ziwa ndio chanzo cha mto?Kwa taarifa yako Ziwa Victoria ni moja ya chanzo cha Mto Nile kwa hiyo Egypt haitaki matumizi yo yote ya maji bila wao kutaarifiwa na kukubali vinginevyo wako tayari kutumia nguvu za kijeshi.
Lowasa aliwezaje? Hakuna mradi wa maji kuelekea Dom kutoka Ziwani?Hiyo jeuri anayo Ethiopia tu. Nchi nyingine zilizobakia (ikiwemo hii ya kwako) ni 🚮 tu kwa Misri.
Kukuelimisha wewe kunahitaji nguvu ya ziada! Mto wo wote ule mkubwa ni mkusanyiko wa vijito vingi vidogo, kwa hiyo Mto Nile vilevile ni mkusanyiko wa mito mingi. Hivyo mito inayofanya Mto Nile kuwepo inaanzia Burundi, Rwanda, Kenya na Tanzania mfano mito ya Rusumo, Kagera, Mara, Simiyu nk ambayo huingia Ziwa Victoria. Kutoka Ziwa Victoria Mto Nile huanzia eneo la Jinja na kuendelea kwenda Kaskazini ambako mito mingine huingia kutoka Uganda, Sudan Kusini, DRC, Ethiopia, Elitrea na Sudan hadi Egypt.Niliona makala moja ikionesha chanzo cha Nile pale Uganda, kuna ushahidi wowote usio na shaka kuwa Ziwa ndio chanzo cha mto?
Ziwa lipo Misri? Mkataba wa Muingereza sio msahafu kuwa eti watu wasinufaike na maji kisa kuna watu watakufa kiu! Si waarabu wale, Dubai wanapata wapi maji?
Ndiyo sababu watu wa Mbarali wanateseka ili bwawa la Mtera lijae maji ya Mto Ruaha kuzalisha umeme na wewe ufaidi kuutumia!Egypt alipewa kichwa na Britain, lakini kimsingi kila mtu anapaswa kuutumia mto kwa nafasi yake. Kabla ya ukoloni kulikuwa hakuna makubaliano yoyote ya matumizi, kila mtu kwa nafasi yake. Yani sisi tuteseke na maji kisa jitu lipo mbali huko tena mwarabu?
Hao wa mbarali ni wananchi wenzangu na sisi wote tunafaidika. Inaeleweka, hao waarabu wa Misri ni nchi nyingine na hawana msaada kwangu.Ndiyo sababu watu wa Mbarali wanateseka ili bwawa la Mtera lijae maji ya Mto Ruaha kuzalisha umeme na wewe ufaidi kuutumia!
Watu wa Mbarali wakitumia maji kwa nafasi yao wewe utapiga kelele ya kukosa umeme!
Mungu alivyoumba Dunia hakuangalia mipaka ya nchi! Mipaka imewekwa na binadamu, na binadamu wameanzisha Jumuiya mbalimbali kwa ajili ya kuondoa mitafaruku. Ni kwa sababu hiyo hiyo Tanzania imejiunga katika Jumuiya ya watumiaji wa Mto Nile ili ishirikiane na nchi zingine katika kunufaika na matumizi ya maji ya mto huo!Hao wa mbarali ni wananchi wenzangu na sisi wote tunafaidika. Inaeleweka, hao waarabu wa Misri ni nchi nyingine na hawana msaada kwangu.
Jumuiya za kikoloni. Kabla kila mtu alikuwa anatumia kwa muda wake na nafasi yake. Ukoloni wa mwingereza ndio ulisababisha yote haya. Alafu wewe kama ni mtanzania, unatete Misri.Mungu alivyoumba Dunia hakuangalia mipaka ya nchi! Mipaka imewekwa na binadamu, na binadamu wameanzisha Jumuiya mbalimbali kwa ajili ya kuondoa mitafaruku. Ni kwa sababu hiyo hiyo Tanzania imejiunga katika Jumuiya ya watumiaji wa Mto Nile ili ishirikiane na nchi zingine katika kunufaika na matumizi ya maji ya mto huo!
Kwa hiyo kwa kuwa Tanzania ni member wa Jumuiya ya Mto Nile inawajibika kuheshimu makubaliano yo yote.
For years Egypt wamekua wakitupangia Nini tufanye na Nini tusifanye kwenye ziwa Victoria ambacho ndio chanzo Cha Nile river.Hivi karibuni nchi 6 kati ya 11 zilizopo katika Bonde la Mto Nile ziliidhinisha itifaki ya usimamizi wa Mto Nile. Nchi hizo ni Tanzania, Burundi, Rwanda Uganda, Sudan ya Kusini na Ethiopia.
Waziri wa Maji wa Egypt amesema nchi yake haitakubali kupoteza hata mita ya ujazo ya maji ya Mto Nile. Amesema makubaliano yo yote lazima yahusishe nchi zote.
Soma Pia: Tume ya Ushirikiano wa Bonde la Mto Nile kuzinduliwa. Egypt inapinga ikidai haki zake za kikoloni zimekiukwa
===============
CAIRO – 13 October 2024: Minister of Irrigation and Water Resources Hani Sweilam called Sunday on states that ratified the Entebbe Agreement to revisit their stances and resume talks on cooperation among Nile Basin countries in a way that would not cause harm to any of them.
The minister stated at a press conference, held on the sidelines of the seventh edition of Cairo Water Week, that although Egypt had launched the Nile Basin Initiative in 1999, one of the countries aimed for reaching a deal with specific countries that contradicts international norms.
Minister Sweilam asserted Egypt's rejection to all unilateral acts and non-recognition of any non-inclusive agreements, noting that the current reality in the Nile Basin is not good. That is because riparian states have been divided into three groups. One is upstream countries, the other is East Nile countries, and the third consists of the two downstream countries. As such, he lamented the absence of a unified organization that represents the Nile Basin countries.
The irrigation minister pointed out that Egypt had already established many water projects in other Nile Basin countries contributing to their sustainable development efforts. On the other hand, he stressed that Egypt had been suffering from water poverty, and would not give up a single cubic meter of water, expressing rejection to the current form of the Entebbe Agreement.
The 11 Nile Basin Countries are Burundi, Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda, Republic of Sudan, Ethiopia, South Sudan, the Democratic Republic of Congo, Eritrea and Egypt. As for the six that ratified the agreement making it effective, they are Rwanda, Tanzania, Uganda, Burundi, South Sudan, and Ethiopia.
True! Hali ya tabia ya hali ya hewa lazima izingatiwe ili athari iwe kwa wote na siyo Misri wajione ni tofauti!For years Egypt wamekua wakitupangia Nini tufanye na Nini tusifanye kwenye ziwa Victoria ambacho ndio chanzo Cha Nile river.
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Duuh! Ufunge maji, mbona tutazama!Wakileta ubishi Uganda, Kenya na Tanzania tunafunga ziwa letu, kwisha habari 😀 mto Nile unabaki historia
Tunatengeneza Artificial rivers na schemes za umwagiliaji nchi nzimaDuuh! Ufunge maji, mbona tutazama!
Topography ya nchi haitawezesha!Tunatengeneza Artificial rivers na schemes za umwagiliaji nchi nzima