Egypt na wenzake wana nafasi gani kwenye AU

Egypt na wenzake wana nafasi gani kwenye AU

Sawa kabisa.'Arab Nationalism' inatumika sana na waarabu kudai ardhi na mambo mengine yasiyokuwa yao.Kwa jinsi waarabu walivyoichukua Misri, waka 'arabise' population na kuwaondoa waafrika original wa misri ndivyo hivyo hivyo walivyofanya Israel.

Ni watu wachache sana wanaojua sumu ya Arab nationalism,hii ni ideology inayochanganywa na dini ili kuiba ardhi za watu wengine!!Na wajinga wanaiangukia! Na ni sumu hii hii inayotumika huko Sudan mpaka leo hii ambako kuna watu ambao ni weusi kama kiza lakini wanajiita 'arabs'! huku wakiwaua waafrika wenzao.

Hebu jiulize,centre ya arab world ipo wapi? Ipo Egypt,Afrika,haipo 'midlle east' .Walebanoni walikataa 'arab' identity na lebanon ipo mideast, unajua kwanini?

Nkurumah alijitahidi kuwaingiza egypt AU mpaka akaoa huko, lakini politically na culturally sizani kuwa hawa ni waafrika whatever what that means.

baada ya hapo sasa nadhani is time kuwaondoa kwenye mambo yetu sisi wamakonde kama soka nk .Maana wao wana mambo yao .Au mnataa tuwavumilie ?
 
Back
Top Bottom