Ninaogopa sana, ila kwa kasi hii ya Tanzania kuna watu wataingia periods every week badala ya kila mwezi.
Nilitaka ushahidi unaoonyesha kwamba Egypt imekubali kutoa msaada wa aina Fulani katika hilo, kama ni kweli basi jambo kama hilo haliwezi kuwa ni siri lazima litaandikwa, **** una link Tafadhali tupatie ili tujiridhishe.Mkuu joto la jiwe
Tunaposema msaada hatumaanishi kulifanya jambo lite, bali unaweza kutoa kiasi au kutoa chote kufanikisha jambi flani. Hicho ndicho nimesema na kitafanyika.
Ukitaka nikupe ushahidi unataka ushaidi upi wakati mimi mwenyewe labda ndio ushahidi wenyewe ambai wewe huuamini?🤣
Si kwamba maji ya victoria hayawezi kutumika kwa kuzalisha umeme kwa sababu eti hakuna falls!...pale Mtera na Hale kuna natural falls?...tujifunze kujifunza pia kwa wengine!
Kwa taarifa yako tu, Egypt ipo tayari kufanya lolote hata kuingia vitani iwapo tu kuna hali ya utumizi wa maji yanayoza kukausha au kudisturb flow ya maji kuelekea kwao!
Wapo wanaumia sana na hizi taarifa.
Una akili sana nyanyangu, hizi juhudi tunazozifanya ni wazi kwamba muda si mrefu tutatoka huko, kuna juhudi za dhati zinafanyika. Vipi ninyi ni jitihada gani mnazozifanya ziwatoe katika kundi la failed States, au mumekata tamaa hamuwezi kutoka tena?hizi periods mnaongelelea ni gani? Eti mtazipata kila wiki?Kweli mnasadiwa na vitu vingi. Hongereni.
Natumaizitawatoa kwenye list ya LDC. Smh
Una akili sana nyanyangu, hizi juhudi tunazozifanya ni wazi kwamba muda si mrefu tutatoka huko, kuna juhudi za dhati zinafanyika. Vipi ninyi ni jitihada gani mnazozifanya ziwatoe katika kundi la failed States, au mumekata tamaa hamuwezi kutoka tena?
https://www.nation.co.ke/news/Kenya...Index-rankings/1056-945310-xke1t0z/index.html
Binafsi siko kwenye mashindano wala mabishano, ila ni kuhusu lugha ya Malkia inayosema "....has won a tender.... " maana yake ni nini? Sioni ubaya mbona!!Hapana hawajashinda tenda, bali wanatoa mchango wao wa HALI NA MALI ili nchi ijielemeze katika matumizi ya maji ya mito mingine na si maji ya ziwa Victoria ambao ni chanzo cha mto Nile na hivyo kuathiri kwa namna moja ama nyingine flow ya maji kule downstream Egypt!
Kama utakumbuka tumeshawahi kuwa na mgogoro na Egypt juu ya uhalali wa kutumia maji ya mto Nile kiasi kwamba kauli kali kali zilitolowe kutoka pande zote mbili.
Iwapo nasisi tungeamua kutumia maji ya Mto ile au Victoria kwa kiasi kikubwa huku tayari Ethiopia wamekamilisha Bwawa kubwa la Kuvuna Umeme basi ni dhahiri kabisa watu Wamisri utegemezi wao wa maji kutoka chanzo hiki baada ya miaka si kumi ingekuwa hatari sana.
Hivyo kama namna ya kuzuia hili lisitokee (kwa sababu wameshindwa kumzuia Methiopia) kwetu wameamua kutusapoti tutumie vyanzo vingine vya maji katika kufua umeme na matumizi mengine na sio maji ya Nile au Victoria!
Hakuna cha kushinda tenda wala nini!
One among very few open minded Kenyans, I salute you. Here are some of the reasons why Kenya is among failed StatesAnd what makes us fall in failed state index?
Huyo ni mwandishi wa Kenya ambaye baada ya kuna Kenya imetajwa katika kundi la failed states, bado hajakubaliana na ukweli huo, anachofanya anajaribu kuonyesha sababu ambazo huenda zimesababisha Kenya kuwekwa katika hili kundi.Mmm could be. Were you taught about adjectives in school?tafadhali jibu kistaarabu.
Egypt Walidhani Wana monopoly y vita,Ethiopia wamejenga dam over 80% complete n Egypt hawajafanya lolote kwa sababu y unity y great lake nations ilibidi wawe diplomaticMkuu joto la jiwe
Tunaposema msaada hatumaanishi kulifanya jambo lite, bali unaweza kutoa kiasi au kutoa chote kufanikisha jambi flani. Hicho ndicho nimesema na kitafanyika.
Ukitaka nikupe ushahidi unataka ushaidi upi wakati mimi mwenyewe labda ndio ushahidi wenyewe ambai wewe huuamini?🤣
Si kwamba maji ya victoria hayawezi kutumika kwa kuzalisha umeme kwa sababu eti hakuna falls!...pale Mtera na Hale kuna natural falls?...tujifunze kujifunza pia kwa wengine!
Kwa taarifa yako tu, Egypt ipo tayari kufanya lolote hata kuingia vitani iwapo tu kuna hali ya utumizi wa maji yanayoza kukausha au kudisturb flow ya maji kuelekea kwao!
Sijakupata vizuri, jaribu kueleza kwa undani kidogoEgypt Walidhani Wana monopoly y vita,Ethiopia wamejenga dam over 80% complete n Egypt hawajafanya lolote kwa sababu y unity y great lake nations ilibidi wawe diplomatic
Kwani kulikua na option ya kutumia maji ya Victoria?Hapana hawajashinda tenda, bali wanatoa mchango wao wa HALI NA MALI ili nchi ijielemeze katika matumizi ya maji ya mito mingine na si maji ya ziwa Victoria ambao ni chanzo cha mto Nile na hivyo kuathiri kwa namna moja ama nyingine flow ya maji kule downstream Egypt!
Kama utakumbuka tumeshawahi kuwa na mgogoro na Egypt juu ya uhalali wa kutumia maji ya mto Nile kiasi kwamba kauli kali kali zilitolowe kutoka pande zote mbili.
Iwapo nasisi tungeamua kutumia maji ya Mto ile au Victoria kwa kiasi kikubwa huku tayari Ethiopia wamekamilisha Bwawa kubwa la Kuvuna Umeme basi ni dhahiri kabisa watu Wamisri utegemezi wao wa maji kutoka chanzo hiki baada ya miaka si kumi ingekuwa hatari sana.
Hivyo kama namna ya kuzuia hili lisitokee (kwa sababu wameshindwa kumzuia Methiopia) kwetu wameamua kutusapoti tutumie vyanzo vingine vya maji katika kufua umeme na matumizi mengine na sio maji ya Nile au Victoria!
Hakuna cha kushinda tenda wala nini!
Ilikuwepo ndio. Lakini si kwa uzalishaji wa umeme!Kwani kulikua na option ya kutumia maji ya Victoria?
Is not important for you to know those requirements, there are people who have done for you, what you are suppose to know is that, " Kenya is a failed state". Enjoy your life nyanyangu.Which requirements? I'd like to know
LmaoNo body's approval is needed to rank any country, what is required is a country to meet requires criteria which were decided before the analysis.
Kenya met all requirements as per international standards and awarded failed state status. I know the are many people who are jealous to see Kenya has made progress to achieve this status, hope you aren't among them.
Why Kenya could be among failed statesYou have said this a million times yet you don't have facts to support it. Next time ,avoid stating things that you don't understand .