Egypt to help Tanzania build huge dam on Rufiji River

Egypt to help Tanzania build huge dam on Rufiji River

Hiyo habari imeandikwa na shirika la habari la China, wametumia neno kusaidiwa kwa hasiri maana wanaoma dili ya kujenga wameikosa.
 
Ninaogopa sana, ila kwa kasi hii ya Tanzania kuna watu wataingia periods every week badala ya kila mwezi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mkuu joto la jiwe

Tunaposema msaada hatumaanishi kulifanya jambo lite, bali unaweza kutoa kiasi au kutoa chote kufanikisha jambi flani. Hicho ndicho nimesema na kitafanyika.

Ukitaka nikupe ushahidi unataka ushaidi upi wakati mimi mwenyewe labda ndio ushahidi wenyewe ambai wewe huuamini?🤣

Si kwamba maji ya victoria hayawezi kutumika kwa kuzalisha umeme kwa sababu eti hakuna falls!...pale Mtera na Hale kuna natural falls?...tujifunze kujifunza pia kwa wengine!

Kwa taarifa yako tu, Egypt ipo tayari kufanya lolote hata kuingia vitani iwapo tu kuna hali ya utumizi wa maji yanayoza kukausha au kudisturb flow ya maji kuelekea kwao!
Nilitaka ushahidi unaoonyesha kwamba Egypt imekubali kutoa msaada wa aina Fulani katika hilo, kama ni kweli basi jambo kama hilo haliwezi kuwa ni siri lazima litaandikwa, **** una link Tafadhali tupatie ili tujiridhishe.

Kuhusu uzalishaji UMEME, kaka usijidhalilishe katika hili, lazima MAJI yawe katika movement ndiyo yanaweza kutumika, maji lazima yawe yanaingia katika dam na kutoka. Kama maji hapo stand still hayawezi kuzalisha UMEME kwasababu hayana "Potential energy" ambayo ndiyo inayotumika kusukuma pangaboya za generator na kuzalisha "Mechanical energy" ambayo inazungusha sumaku ndani ya coil kuzalisha "electric current".

Baada ya MAJI kusukuma pangaboya kutokana na kuanguka kutoka kina kirefu, lazima yaendelee na safari yake ile MAJI mengine yaje kufanya hivyo hivyo. Kama standing water yanaweza kuzalisha UMEME, basi bahari ingekuwa chanzo kizuri sana cha UMEME kwa sababu haiathiriwi na kiangazi.
 
Egypt wins tender to construct major Tanzanian dam

Date
10/22/2018 2:22:51 PM

  • Tweet on Twitter
  • img_trnsp.gif
(MENAFN) The Egyptian presidency announced the country to be lending Tanzania a hand in the construction of a major dam on the Rufiji River.

Egypt's top construction firm Arab Contractors was awarded with a contract for the design and establishment of the dam.

Egyptian presidential spokesman Bassam Rady confirmed the company to have been tasked to establish Stiegler's major Gorge dam.

The spokesman added "the dam construction will be done in a way that brings pride to Egypt, Tanzania and Africa."

MENAFN2210201800450000ID1097602365

Egypt wins tender to construct major Tanzanian dam
 
hizi periods mnaongelelea ni gani? Eti mtazipata kila wiki?Kweli mnasadiwa na vitu vingi. Hongereni.
Natumaizitawatoa kwenye list ya LDC. Smh
Una akili sana nyanyangu, hizi juhudi tunazozifanya ni wazi kwamba muda si mrefu tutatoka huko, kuna juhudi za dhati zinafanyika. Vipi ninyi ni jitihada gani mnazozifanya ziwatoe katika kundi la failed States, au mumekata tamaa hamuwezi kutoka tena?
https://www.nation.co.ke/news/Kenya...Index-rankings/1056-945310-xke1t0z/index.html
 
Hapana hawajashinda tenda, bali wanatoa mchango wao wa HALI NA MALI ili nchi ijielemeze katika matumizi ya maji ya mito mingine na si maji ya ziwa Victoria ambao ni chanzo cha mto Nile na hivyo kuathiri kwa namna moja ama nyingine flow ya maji kule downstream Egypt!

Kama utakumbuka tumeshawahi kuwa na mgogoro na Egypt juu ya uhalali wa kutumia maji ya mto Nile kiasi kwamba kauli kali kali zilitolowe kutoka pande zote mbili.

Iwapo nasisi tungeamua kutumia maji ya Mto ile au Victoria kwa kiasi kikubwa huku tayari Ethiopia wamekamilisha Bwawa kubwa la Kuvuna Umeme basi ni dhahiri kabisa watu Wamisri utegemezi wao wa maji kutoka chanzo hiki baada ya miaka si kumi ingekuwa hatari sana.

Hivyo kama namna ya kuzuia hili lisitokee (kwa sababu wameshindwa kumzuia Methiopia) kwetu wameamua kutusapoti tutumie vyanzo vingine vya maji katika kufua umeme na matumizi mengine na sio maji ya Nile au Victoria!

Hakuna cha kushinda tenda wala nini!
Binafsi siko kwenye mashindano wala mabishano, ila ni kuhusu lugha ya Malkia inayosema "....has won a tender.... " maana yake ni nini? Sioni ubaya mbona!!
 
Mmm could be. Were you taught about adjectives in school?tafadhali jibu kistaarabu.
Huyo ni mwandishi wa Kenya ambaye baada ya kuna Kenya imetajwa katika kundi la failed states, bado hajakubaliana na ukweli huo, anachofanya anajaribu kuonyesha sababu ambazo huenda zimesababisha Kenya kuwekwa katika hili kundi.

He/She is recovering from denying phase, and is entering negotiation phase, unfortunate majority of Kenyans are still at denying phase, hope you are not among them.
 
Mkuu joto la jiwe

Tunaposema msaada hatumaanishi kulifanya jambo lite, bali unaweza kutoa kiasi au kutoa chote kufanikisha jambi flani. Hicho ndicho nimesema na kitafanyika.

Ukitaka nikupe ushahidi unataka ushaidi upi wakati mimi mwenyewe labda ndio ushahidi wenyewe ambai wewe huuamini?🤣

Si kwamba maji ya victoria hayawezi kutumika kwa kuzalisha umeme kwa sababu eti hakuna falls!...pale Mtera na Hale kuna natural falls?...tujifunze kujifunza pia kwa wengine!

Kwa taarifa yako tu, Egypt ipo tayari kufanya lolote hata kuingia vitani iwapo tu kuna hali ya utumizi wa maji yanayoza kukausha au kudisturb flow ya maji kuelekea kwao!
Egypt Walidhani Wana monopoly y vita,Ethiopia wamejenga dam over 80% complete n Egypt hawajafanya lolote kwa sababu y unity y great lake nations ilibidi wawe diplomatic
 
Egypt Walidhani Wana monopoly y vita,Ethiopia wamejenga dam over 80% complete n Egypt hawajafanya lolote kwa sababu y unity y great lake nations ilibidi wawe diplomatic
Sijakupata vizuri, jaribu kueleza kwa undani kidogo
 
No body's approval is needed to rank any country, what is required is a country to meet requires criteria which were decided before the analysis.

Kenya met all requirements as per international standards and awarded failed state status. I know the are many people who are jealous to see Kenya has made progress to achieve this status, hope you aren't among them.
 
Hapana hawajashinda tenda, bali wanatoa mchango wao wa HALI NA MALI ili nchi ijielemeze katika matumizi ya maji ya mito mingine na si maji ya ziwa Victoria ambao ni chanzo cha mto Nile na hivyo kuathiri kwa namna moja ama nyingine flow ya maji kule downstream Egypt!

Kama utakumbuka tumeshawahi kuwa na mgogoro na Egypt juu ya uhalali wa kutumia maji ya mto Nile kiasi kwamba kauli kali kali zilitolowe kutoka pande zote mbili.

Iwapo nasisi tungeamua kutumia maji ya Mto ile au Victoria kwa kiasi kikubwa huku tayari Ethiopia wamekamilisha Bwawa kubwa la Kuvuna Umeme basi ni dhahiri kabisa watu Wamisri utegemezi wao wa maji kutoka chanzo hiki baada ya miaka si kumi ingekuwa hatari sana.

Hivyo kama namna ya kuzuia hili lisitokee (kwa sababu wameshindwa kumzuia Methiopia) kwetu wameamua kutusapoti tutumie vyanzo vingine vya maji katika kufua umeme na matumizi mengine na sio maji ya Nile au Victoria!

Hakuna cha kushinda tenda wala nini!
Kwani kulikua na option ya kutumia maji ya Victoria?
 
Kwani kulikua na option ya kutumia maji ya Victoria?
Ilikuwepo ndio. Lakini si kwa uzalishaji wa umeme!

Ukipata mipango ya uendelezaji wa mradi wa bonde la Ziwa Victoria unaonesha namna ambavyo ziwa lingetumika na hivyo kwa namna moja ama nyingine kuathiri flow ya Maji.
 
Ni rahisi kwa Egypt kusupport mradi Hugo as long as wanalinda maslahi ya MTO Nile. Ingekuwa bwawa linagusa chochote kinachohusu Nile basin ungesikia kelele zao. Kiusalama ni muhimu kwao.
 
No body's approval is needed to rank any country, what is required is a country to meet requires criteria which were decided before the analysis.

Kenya met all requirements as per international standards and awarded failed state status. I know the are many people who are jealous to see Kenya has made progress to achieve this status, hope you aren't among them.
Lmao
 
You have said this a million times yet you don't have facts to support it. Next time ,avoid stating things that you don't understand .
Why Kenya could be among failed states
Hii article wakenya wenzako wenye akili amesema kila kitu kuhusu mambo yanayoifanya Kenya kuwa failed state
1)Crime
2)Extra judicial killings
3)Corruption
4)Kuzagaa kwa silaha za kivita miongoni mwa wananchi wa jamii za wafugaji
5)Tatizo la njaa la muda mrefu
6)Mgomo wa madaktari kwa zaidi ya siku 80 wakati wananchi wakiendelea kufa
7)Tribalism
8)Nepotism

Ninaomba uendeleee kutaja zingine ambazo unahisi zimechangia Kenya kuwa ranked as failed state.
 
Back
Top Bottom