Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Every country in Africa or rather say in the whole 🌍have all the vices that you just listed above. So in short, we all live in a failed worldWhy Kenya could be among failed states
Hii article wakenya wenzako wenye akili amesema kila kitu kuhusu mambo yanayoifanya Kenya kuwa failed state
1)Crime
2)Extra judicial killings
3)Corruption
4)Kuzagaa kwa silaha za kivita miongoni mwa wananchi wa jamii za wafugaji
5)Tatizo la njaa la muda mrefu
6)Mgomo wa madaktari kwa zaidi ya siku 80 wakati wananchi wakiendelea kufa
7)Tribalism
8)Nepotism
Ninaomba uendeleee kutaja zingine ambazo unahisi zimechangia Kenya kuwa ranked as failed state.
This question you should ask those who ranked Kenya as a failed state and leave out other countries, may be they a jealous with you. Until stated other wise, Kenya is a failed state by now as per the last ranking report.Every country in Africa or rather say in the whole [emoji288]have all the vices that you just listed above. So in short, we all live in a failed world
Hahahahahahaha, unanifurahisha sana nyanyangu, unajaribu kushindana na dunia?. Huo ugonjwa unaitwa" Sycophantic denial syndrome", ukimaliza dose utakua na condition inayoitwa, "Reality acceptance situation"And I assured you that as long as all those vices are in existence ie.in the whole world, the whole world will continue to be failed until proven otherwise and am sure that won't happen until parousia
Ww unaonekana ni mgumu sana kuelewa alafu unakurupuka hausomi post ya mwenzako kwa umakini au la unapenda mabishanoNilitaka ushahidi unaoonyesha kwamba Egypt imekubali kutoa msaada wa aina Fulani katika hilo, kama ni kweli basi jambo kama hilo haliwezi kuwa ni siri lazima litaandikwa, **** una link Tafadhali tupatie ili tujiridhishe.
Kuhusu uzalishaji UMEME, kaka usijidhalilishe katika hili, lazima MAJI yawe katika movement ndiyo yanaweza kutumika, maji lazima yawe yanaingia katika dam na kutoka. Kama maji hapo stand still hayawezi kuzalisha UMEME kwasababu hayana "Potential energy" ambayo ndiyo inayotumika kusukuma pangaboya za generator na kuzalisha "Mechanical energy" ambayo inazungusha sumaku ndani ya coil kuzalisha "electric current".
Baada ya MAJI kusukuma pangaboya kutokana na kuanguka kutoka kina kirefu, lazima yaendelee na safari yake ile MAJI mengine yaje kufanya hivyo hivyo. Kama standing water yanaweza kuzalisha UMEME, basi bahari ingekuwa chanzo kizuri sana cha UMEME kwa sababu haiathiriwi na kiangazi.
Wewe ni zero brain, muhusika ameelewa nilichomjibu na ametulia, kama hujaelewa uliza ueleweshwe acha kudandia gari kwa mbele.Ww unaonekana ni mgumu sana kuelewa alafu unakurupuka hausomi post ya mwenzako kwa umakini au la unapenda mabishano
Kuna watu wanaopenda SIFA na kujikweza zaidi ya wakenya?, tumewakamata pabaya hamna jinsi sasa mnaita mabishano, hadi mtakaposalimu AMRI na kuacha tabia yenu ya kupenda SIFA za kijinga.Anapenda mabishano sana huyo. Hivi kulikuwa na siku ya midahalo shuleni ?