Egyptian Industrial City In Kigamboni?

Ukibanwa mavi nenda kanye

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna shida yoyote? Hujawahi sikia American university of Cairo or Dakar nk ?

Na wewe Jenga tuite jina lako.
 
Paschal Ni Fala tu, nafikiri hata huko USA hajafika anaropoka tu!

Alikuwa amesimama, mwenye misimamo zamani, siku hizi anayumba. Nahisi wote tunazeeka, tunahitaji kipato.

Bado anaweza kuwa asset kwa hii serikali. Wampe kitengo cha propaganda mitandaoni.

Pascal Mayalla ni bora zaidi kuliko mamia, maelfu waliowaajiri mitandaoni.
 
Alikuwa amesimama, mwenye misimamo zamani, siku hizi anayumba. Nahisi wote tunazeeka, tunahitaji kipato.

Bado anaweza kuwa asset kwa hii serikali. Wampe kitengo cha propaganda mitandaoni.

Kwa kweli nilimkubali Sana ndo maana nasikitika Sana; Ana uwezo mkubwa Ila ndo hivyo katanguliza njaa!
 
Kwa kweli nilimkubali Sana ndo maana nasikitika Sana; Ana uwezo mkubwa Ila ndo hivyo katanguliza njaa!

Nafikiri inafikia wakati kwa maisha ya binadamu watu wanafikiria zaidi, watoto, wajukuu, chakula, pesa,jinsi ya kulipa kodi, tozo, bills.

Tusiwalaumu sana.
 
Kigamboni avic Town imeishia wapi?

Mm naona wacha wapajenge tu wataipaisha kigamboni

Ova
 
Adi 2025 mama atakuwa ameuza kila kitu cha tanganyika
 
Ndio madhara ya mazwazwa,kiufupi ukifikilia sana upuuzi wa watu Hawa ukiwa na pesa zako bora kwenda kwingine acha wafe.kwa umaskini wao.

Watu walioridhika na umaskini hawafai kuchangama nao.
 
Egypt inajenga sehemu itakayoitwa "Egyptian Industrial City in Kigamboni" nchini Tanzania. Sijaelewa vizuri maana yake

CCM imeshatupiga mnada, yule diwani wa Kigamboni mambo kama haya aliyakataa. Tatizo waTanzania hawasomi wala kudai uwazi na ushirikishwaji ktk maamuzi, wamezoea kusubiri 'hisani' toka kwa viongozi wao.

Na waTanzania wamekuwa na hulka kuwaamini viongozi wao kuwalinganisha na uwezo wa mithili ya 'miungu-watu' (sijatumia Mungu inayoanzia na herufi kubwa) wenye uelewa mkubwa kiasi tumewaachia kila kitu watuamulie bila kushirikishwa tukiamini hawafanyi makosa katika ilivyo kwa binadamu yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…