Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Si ndiyo hapo
Hiyo avic yenyewe ni mradi wa mchina
Wabongo ni watu wa kupingapinga tu
Ova
Miradi inatengenezwa kwetu
Wafanyakazi waswahili ajira 50,000 zinakuja za moja kwa moja bado temps na kina mama lishe
Wanafungua na training centre ya kuwasuka vijana wajue kazi za kufanya kwa vitendo kabla hawajaajiriwa
Mungu awape nini na neema inawafuata ila wanawaza jina
Haya jina la Mfugale linasaidia nini au linapunguza nini
Ila huwezi kuridhisha wote lazima kuna wakupinga hata kama ni mazuri
Bado wale walioko nje hawajatia neno [emoji23]