Egyptian Industrial City In Kigamboni?

Kumbe champion wa Katiba mpya!!..mna kelele kinoma
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Brother pascal ,natamani sana siku moja nionane na ww.kwani ni mtu mwenye maono makubwa sana na pia unaonekana ni mtu ambaye umesoma na kuelimika na unaitumia elimu yako vizuri sana . ubarikiwe kaka
Ingekuwa vyema kusoma majibu aliyopewa Pascal ili ujiridhishe. Hayo majina aliyolinganisha hayakupatikana namna hiyo ambayo inakwenda kutokea Kigamboni. Hakuna Raisi wa nchi aliyeweka sahihi mkataba wa uwekezaji na jina la nchi inayowekeza. Fungua mawazo yako ili uweze kuione tofauti.
 
Hawa wahuni watapata wapi mtaji labda kama zile hela za comssion walizotupiga kwenye sgr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…