πŸ‡ͺπŸ‡¬ Egyptians put to the sword!!!! Gor Mahia 4-2 Zamalek

Hehehe safi sana, Simba FC waje Kenya wapate darasa.
 
hapo sawa. wale wengine wanachojua ni kunyegezana
 
hongera kwa Gor mahia...huku kwetu tunachezea kichapo cha mbwa koko daily... viongozi wetu wa soka makada wa chama tawala...wapo busy kuunga mkono serikali huku wakiacha soka likididimia..very naive.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichapo cha whaaaat!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani, ila kosa kubwa sana wamefanya kuwaruhusu Zamalek kuweka goal 2 za away.
 
Hehehe safi sana, Simba FC waje Kenya wapate darasa.
Kama umefatilia vizuri timu za kiarabu zikiwa away huwa azipo sana makini tofauti na kwao ukifuatilia hata ile mechi ya shilikisho licha ya yanga kupita ktk kipindi cha mpito waarabu waliwafunga yanga 4-0 kwao lakin yanga alikuja kuwafunga 3-0 katika uwanja wa taifa pia naamin simba haitowez kufungwa ikiwa nyumbani na pia naamin itatinga hatua ya robo fainali so ushindi wa nyumbani umekuw ni jambo LA kawaida kwa timu nyingi hasa katika hatua ya makundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So msifungue nyuzi za kubeza beza hapa wakati juzi tu simba alimfunga muarabu 3-0 taifa na sikuona nyuzi hata moja kuusu huo ushindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati ya 'ufundi' ya mganga maarufu huko Nyanza, Kisumu iliyokuwa chini ya Mzee Gor Wuod Ogada Nyakwar Ogalo imefanya yake waarabu kupoteana uwanjani.

Naona Zamalek ktk uchambuzi wa mechi ime kosolewa sana kuhusu Gor Mahia na Dennis Oliech walivyokuwa wanawasumbua timu hiyo kubwa ya Egypt. Hongera zao Gor Mahia 'Mighty Kogalo '. :

Highlights: all goals GMFC Vs ZSC

Source : Ω…Ψ²Ω…Ψ² ΩƒΩˆΨ±Ψ©
 
The one thing a like about Gor mahia is that it's character truly resembles the mighty Gormahia himself. When you think he's going to lose because there is a heavier task ahead of him, that's when he nails it. GORMAHIA KAGONGA WAARABU.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612][emoji1612]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…